HALI SI HALI MWAMBONU SECONDARY SCHOOL
Shule hii imekuwa si shule tuu bali pia ni shule ya mapenzi na ngono za kiholela. Wakaazi wa maeneo ya shule hii na wazazi wa shule hii wamekemea vikali tabia chori kutoka kwa walimu.
Duru zinasema kuwa baadhi ya walimu wa shule hii wanaramba asali ya wanafunzi bila kujali umri wala maisha ya baadae ya wanafunzi hao. Hii si kinyume tu kulingana na sheria za mwajiri wa walimu TSC, bali ni kinyume pia kulingana na sheria za nchi na katiba ya Kenya. Ni hatia kwa mtu mzima kulala na msichana ambaye hajafikisha miaka kumi na nane.
Tabia hii mbaya imekita mizizi katika shule hii ya Mwamonu Secondary School.
Duru zinazidi kusema kuwa, mwaka huu wanafunzi kadhaa wamefanya mtihani wa kidato cha nne wakiwa waja wazito. Washukiwa wakuu wa kutekeleza mradi huo wa kupachika wanafunzi mimba wakiwa ni walimu wao.
Kawaida walimu huchukuliwa kama watu wa kuonyesha mifano njema katika jamii na kuelekeza watoto kukua wakiwa na maadili mema ila kwa shule hii mambo ni kinyume kabisa.
Cha kusikitisha zaidi ni kuwa ripoti kama hizi ziliripotiwa tangu mwaka jana na kufikia sasa hakuna hatua yoyote imechukuliwa hivyo kuwafanya walimu hawa majadingili kuona kuwa wanavyofanya ni kawaida.
Mnamo tarehe 27 Julai, mwaka Jana, mwalimu Mkuu aliandika MEMO kukemea swala hilo ila kufukia sasa hakuna hatua yoyote imechukuliwa.
Kama wazazi na wakaazi tumlaumu nani? Ni shirika la TSC limelalia kazi ama ni Mwalimu Mkuu?
Duru zinazidi kusema kuwa walimu hao wanaojihusisha na usherati huu wamekuwa wazembe kazini, hata syllabus za masomo yao zinawashinda kumaliza. Hii inatuma wanafunzi kutofanya vizuri kwenye mitihani yao ya mwisho.
Kama wakaazi na wazazi tunaomba shirika husika lichukue hatua kali haraka iwezekanavyo kabla hatujaanza kuchukua sheria mikononi.
Orodha ya walimu tuliowamulika ni kama ifwatavyo.
1. Chief Principal
2. Madam Mutua (deputy Principal)
3. Mwalimu Getate
4. Mwalimu Wasike
5. Mwalimu Ongweso
Tunaomba ikiwezekana watano hawa wasikanyage Mwambonu Secondary School Januari mwaka ujao.
Tukiwaona tutachukua hatua kama jamii kuhakikisha wamechukuliwa hatua za kisheria na waliopachika watoto wetu mimba wamechukuwa majukumu ya mimba zao.
Ni hayo kwa sasa.
AHSANTE KWAELA NEWS NETWORK kwa kuangazia.
https://www.facebook.com/share/p/15TvLyjwn7/

Facebook
Log in or sign up to view
See posts, photos and more on Facebook.
Slavery was abolished, many years ago, but it still prospers in Taveta Constituency - KENYA π°πͺ
What is wrong with this Honourable Member of Parliament? π€·ββ
#WakiliBwireNiBureKabisa
https://www.facebook.com/share/p/12AnAjQeN2K/

UBADHIRIFU WA FEDHA ZA UMMA KATIKA OFISI YA NG-CDF YA TAVETA
Katika eneo bunge la Taveta, mwaka wa fedha wa 2024/2025 umejaa utata na maswali mengi kuhusu matumizi ya fedha za umma. Takwimu za bajeti zilizowekwa kwenye tovuti rasmi ya NG-CDF zinaonyesha wazi kuwa kuna ulaghai unaoendelea.
Kwa mfano, gharama za kuunganisha mtandao zimeongezeka kutoka Sh80,000 mwaka uliopita hadi Sh150,000 mwaka huu. Je, ni niniβ¦
READ MORE: https://kwaela.co.ke/ubadhirifu-wa-fedha-za-umma-katika-ofisi-ya-ng-cdf-ya-taveta/

Watu wa #TaitaTaveta wakipewa ahadi gushi na Rais RUTO!
https://www.facebook.com/share/p/12HgszUiF5G/

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tunashukuru hapa #TaitaTaveta tumeletewa #ChemiChemi za ahadi na kipiripiri ! π ...
https://www.facebook.com/share/v/15k9jna1LJ/

Wengi hawashikanishi hii ...
Mtaro wetu wa Mauaji uko MATA WARD, ndio maanake ...
https://www.facebook.com/share/p/14GgfXKLa3/

OPEN LETTER TO THE PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA
Dear Mr. President, His Excellency Dr. William Samoei Ruto
We, the residents of Taita Taveta, extend our warmest greetings to you on the occasion of your official visit to our great county. We are honored by your presence and the significant assignments you will undertake, including the launch of the Devki Steel Melting Factory.β¦
READ MORE: https://kwaela.co.ke/open-letter-to-the-president-of-the-republic-of-kenya/

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
CS Opiyo Wandayi is a first learner.
In few months, he has mastered the art of #ChemiChemiZaAhadi ...
Congratulations... ππΎππΎππΎ
https://www.facebook.com/share/v/1fPQgG4otv/

KIJANA WETU ALITENDWA HIVYO TU ...
Kazi ya AMBASSADOR Portugal ikaongezeka kwa orodha ya #ChemiChemiZaAhadi ...
Rais William Samoei Ruto jamani ...
π¬π¬π¬π¬π¬
https://www.facebook.com/share/p/19pts4vKPL/

The Pope tells President Ruto to STOP π legalisation of selling Body Parts and Organs.
https://www.facebook.com/share/p/19eVotc191/

CONCERNS REGARDING COUNTY COMMUNICATION TEAM PERFORMANCE
Dear Taita Taveta county / Governor
I am writing to express my concerns regarding the performance of the county communication team. It has become increasingly evident that there are significant gaps in their ability to effectively engage with media representatives and other key stakeholders. This shortcoming is not only impacting the countyβs image butβ¦
READ MORE: https://kwaela.co.ke/concerns-regarding-county-communication-team-performance/

π1
Wakaazi wa #TaitaTaveta baada ya kupewa #ChemiChemiZaAjadi na Rais ... π₯±π₯±π₯±
https://www.facebook.com/share/p/1DNrJWkLzS/

WE CONGRATULATE DEVKI STEEL FOR INVESTING IN #TaitaTaveta COUNTY.
https://www.facebook.com/share/p/1A1MQzVXHx/