OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
3.02K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
WAZO LA BIASHARA



MASHINE YA KUFULIA INALIPA......... !!!

KUNA WATU WANATENGENEZA ZAIDI YA 500,000Tshs kwa week!!




Kuna siku katika harakati zangu nliingia Bank flan kufungua account..... Nlipenda huduma ya pale Bank kiasi kwamba hadi yule aliyekuwa ananihudumia akawa kama rafiki yangu...Huku anaendelea kunihudumia,.... alikuwa anaongea sana na wafanya wake pamoja namimi......

Katika zile story zake zote nlisikia jamaa akilalamika Kuwaambia wenzake kuwa "YULE JAMAA ANAYECHUKUAGA NGUO, WEEK HII HAKUJA".... na wenzake pia walikuwa wanalalamika icho kitu!!!..... Yule jamaa akaniuliza kuna sehemu ingine wanatoa huduma kama hiyo iyo...Kama naifahamu??...(YANI MASHINE YA KUFULIA)....kiukweli mimi mwenyewe nlikua sijui..!!

Na ndipo WAZO LIKANIJIA HAPO HAPO KUMBE HII NAYO NI BIASHARA NA WATU WANAPIGA PESA!! 😅

Kwamaana jamaa aliniambia analipia elfu.10 kila week na wako kama 5 hapo kazini...yan uyo jamaa anawafataga kila weekend kuchukua nguo......!!


Nlijaribu kutafuta mtu anayefanya biashara kama hiyo...kwa maeneo nlipo , nliulizia nkikosa!!..Ila nlipewa na namba ya mtu anayefanya biashara kama hiyo Dar......


Nliwasiliana nae uyo jamaa , kiuweli naweza kusema alinifungua sana na aliniambia baadhi ya mambo ambayo ningependa kushea hapa Kuhusu hii biashara!!!!.....


Inaendelea......
Jamaa aliniambia hii biashara watu wengi bado hawajashtuka!! Na ata ambao wachache wanaifanya...Hawajui jinsi ya kuifanya..!!!..


UZURI WA HII BIASHARA...UKIPATA WATEJA, YAN WATEJA WAKO NI HAO HAO WA KUDUMU MILELE😄


Huwa napenda kusema Kila biashara Inalipa , Ishu ipo ni UNAIFANYAJE ??? Na Utapataje wateja???


Bei ya mashine ya Kufulia ...zipo za AINA NYINGI......


Yani bei inaanzia kuanzia 500K hadi Million 1 au zaidi..... Ila nyingi nlizoana bongo...nuzri wanauza 900K Tshs!!

Sasa embu tuashumu wewe umenunua ile bora kabisa ya 1M Tshs na umepata ofisi /frame nzuri kila kitu kwa bajeti yako unayoijua mwenyewe...


Ishu ipo kwenye kutafuta WATEJA!!!..

Zingatia mambo haya!!


● Mimi nlishaongeleaga swala la Branding.....Hakikisha Ume brand Biashara yako ni iwe Official....!! USIFANYE VITU KIENYEJI enyeji',.... ( Biashara yako iwe na Jina, Logo, documentation, Mikataba, usajili, Ofisi, social Media Accounts n.k) & PROMOTE YOUR BUSINESS


● Kwa teknolojia inavyokuwa unaweza pia kutengeneza Mobile app...ambayo.mtu anaweza ku -Book au kuweka order.... Online!!

● Tambua, aina ya wateja wako ni watu wa aina gani..... WATU WANAOPENDA KUTUMIA HIZO, wengi wao ni wale mabachelor na wako busy !! Au watu wale wanaoshindaga maofisini



Sasa hapa kwenye kutafuta wateja.....unahitaji ORDER ZA WATU 50 tuuh kutengeneza Laki.5 kwa week!!!



Kama kweli utaweza kutafuta Wateja.....ambao unajua ukilenga maofisi flan au majumba flan Huwezi kosa watu watakayohitaji huduma hiyo!!!......


Sasa achana na kutafuta watu....KUNA HIZI LODGE, GUEST NA MAHOTELI!!!


yan ukifanikiwa Kupata GUEST ZAKO kama 20 hivi...uwe unaenda kuchukua Nguo kule au LODGE au Mahoteli...bhasi hapo ni uhakika wa WATEJA WA KUDUMU!!!


huyo jamaa ndio kitu anachofanya sasa.... yeye anakwambia aliwatafuta hawa wamiliki wa magest House kama 50 hivi...alibahatisha hapo kupewa tender za Kufulia Gesti kama 32 !!..na anakwambia saivi ana tender ya hotels kama 8 tayar....!! Yeye kazi yake ni Huduma ya Kufua tuh!!...kwahiyo wanaenda kuchukua Nguo na nakuzirudisha !!



Sasa kama ana guest moja..anakwambia anaweza wapangia Bei ata 30 Kwa week !! Na anawafulia kila siku..ila anachukua 30K yake kila week na zipo gest kama 30....means anapata kiasi kizuri na ni uhakika..kwamaana AMEINGIA NAO MKATABA😃😃...... hapo bado kuna wale watu wake wanao order kufuliwa......uhakika kwake minimum sio chini ya LAKI.5 kwa week FAIDA..!!



Sio kazi rahisi kufikia level hiyo...lakini kila kitu kinawezekana.... Ishu ipo kwenye kupata hizo TENDER ZA MAHOTEL /GUEST/LODGE na WATU....



Mimi lengo langu ni kuleta WAZO LA BIASHARA tuuh...so kazi kwako kama umelipenda na kuanzia kulifanyia kazi!!


Asanteni!!

© Imeandaliwa na Kuandikwa na Unistoretz Inc


Kwa maoni na Ushauri wasiliana nasi

unistoretz9@gmail.com
GOOD NEWS KWA WAHITIMU- WANAOTAFUTA KAZI NA HAWANA EXPERIENCE

KAMPUNI YA SAP - YATANGAZA FURSA KWA WATANZANIA - GRADUATES
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

👉 Utapewa Mafunzo na utapata kipaumbele kwenye kupata Ajira - Nchi yoyote Duniani chini ya kampuni ya SAP

👉 Baada ya mafunzo, utapewa Certification & Priority kwenye Ajira na fursa nyingi zitakazojitokeza kwenye Kampuni ya SAP

👉 Utaweza kutambulika Nchi yoyote Duniani - chini ya kampuni ya SAP

Vigezo :
📍Uwe Mtanzania
📍Uwe unajua kuongea lugha ya kingereza
📍Na Vigezo vingine-fungua link

Deadline: March 2021

Bonyeza Link Kufahamu zaidi -Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/sap-africa-young-professional-program-2021-for-young-graduates-across-africa/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI HOSPITALI YA OCEAN ROAD


Vigezo: Elimu kuanzia ya 4m4 na Certificate

Deadline: March 19


Bonyeza Link-Kufahamu zaidi jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/the-ocean-road-cancer-institute-orci-4-job-opportunities/
AJIRA TIPS ----->> BAADHI YA MBINU ZITAKAZO KUSAIDIA KUPATA AJIRA


Ku-Apply Ajira nako kunahitaji SKILLS / UJUZI wake...!!


✴️ Yawezekana una apply matangazo mengi ya kazi sana na una vigezo .....Na kwa bahati mbaya hujawahi kubahatika ata kuitwa kwenye interview...... !!

Yawezekana kukawa na sababu nyingi Personal / other reasons


Hapa ,tu angalie tatizo katika JINSI UNAVYO APPLY MATANGAZO YA KAZI / AJIRA.....



NINI CHA KUFANYA???


1⃣ Jaribu kushirikisha watu unaowafahamu waliofanikiwa kupata kazi , waweze kukusaidia katika kufanya Application ya ajira mbali mbali zinazotangazwa. Watumie CV yako na Cover Letters wakusaidie kufanya review na kuweka sawa baadhi ya vitu.


2⃣ Kama hauna watu unaowafahamu wenye uwezo uo,Jaribu kutumia makampuni yanayosaidia watu katika ku apply ajira . Kuandaa CV & Cover Letters na Application za ajira kwa Ujumla ..." Recruitment Agencies" kumbuka hapo ni lazima uwalipe, ndio watakusaidia katika kuandaa CV & Applications kwa ujumla.


3⃣ Usitishike na Tangazo la kazi, kuhusu Experience kubwa wanaohitaji. Wewe apply tuuh, ili mradi una hizo skills /knowledge wanayohitaji au unaona utafit kwenye iyo position


4⃣ Angalau kwa siku tuma maombi, kampuni sio chini ya tano kulingana na tangazo la kazi unalo ona lina vigezo vinayokuhusu . Apply many job adverts as you can.


5⃣ Hakikisha una CV iliyoandaliwa vizuri, Tengeneza LinkedIn Profile nzuri ( very professional) na Cover Letters zako ziwe zenye ubora.

Ni muhimu kuwa na LinkedIn Account- Profile ambayo ni professional. Kazi nyingi za siku hizi wanakutaka u-apply kwa kutumia LinkedIn account.


6⃣ Muombe Mungu na shirikisha watu ( especially walioajiriwa wakusaidie kwenye recommendations ya kampuni zao). Tafuta watu potential unaowafahamu . Connections ni muhimu


7⃣ Sio lazima , usubiri kampuni itangaze Kazi. Submit CV yako mapema kwa HRs wa kampuni mbali mbali, Wakumbushe kupitia Emails zao au Contacts zao, kuwa ikitokea nafasi uwe included. Watumie CV yako na LinkedIn profile Link yako mara kwa mara.


8⃣ Njia nyingine ya kupata nafasi ya ajiri, ni kuanza ku Volunteer katika kampuni husika unayo iwinda. Anza kujipendekeza kwanza


9⃣ Usipende ku apply ajira kwa kutumia Simu. Tumia Kumpyuta ku-Apply ajira , especially ajira zinazohitaji ku apply Online.


1⃣0⃣ Endelea kufuatilia matangazo yetu ya ajira kila siku tunayotuma humu, Fungua link kisha usome maelekezo ya tangazo husika kwa umakini

Link---->>>>https://www.unistoretz.com/magazine/


Asante. Na karibu tuzidi kusaidiana😊

Disclaimer: Makala hii ni mawazo ya mtu binafsi na sio kanuni za lazima.
🛑 KAMA HAUNA CV---- BONYEZA HII LINK HAPA , Download CV samples


👉 CV samples - Download Template zenye ubora wa Kisasa- MICROSOFT WORD FILES-Utaweza ku edit mwenyewe kwa kujaza Taatifa zako


Bonyeza Link Hapa-Ku download CV SAMPLES Templates
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/curriculum-vitae-cv-samples-and-writing-tips-create-your-cv-online-and-download/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

🛑 JINSI YA KU-APPLY AJIRA KWA EMAIL

📍 AJIRA nyingi zinakutaka utume maombi yako ya kazi kwa njia ya Email kwa kuambatanisha CV yako


👉 Unafahamu jinsi ya ku-Apply Ajira kwa Njia ya Email??.. Kwa kuambatanisha CV yako na Vyeti...???


Bonyeza hapa ku-download na kufahamu jinsi ya kutuma maombi ya kazi kwa kutumia Email
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/cover-letter-for-an-email-submission/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

🛑 MIFANO YA BARUA ZA KUOMBEA KAZI - KWA NJIA YA EMAIL au POSTA

👉 Kama umeambiwa utume na Cover Letter- kwa njia ya Email au Posta


📌 Bonyeza Link hapa Ku Download Mifano ya Barua za kuombea kazi fani zote/ Cover Letters
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/best-free-application-letter-templates-samples/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

✅ Ajira mpya zilizotangazwa ,leo Nafasi za ajira zaidi ya 1000++ Makampuni mbali mbali

Bonyeza Hapa ku-Apply Ajira
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
Walimu wanahitajika- SHULE YA ISAMILO INTERNATIONAL SCHOOL

● Walimu wa kufundisha Primary School

● Walimu wa kufundisha Secondary School

➖History
➖Geography
➖Science Subjects
➖Mathematics
➖Arts subjects
➖Business Subjects
➖French
➖Computer
➖English
➖Economics
➖Psychology

Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/isamilo-international-school-primary-secondary-school-teachers-jobs/
Vijana wa Fields wanahitajika - UTALIPWA VIZURI SANA💰


👉 Vigezo: Uwe umemaliza form 4 au form 6

📍 No Experience is needed

● Interns Waliosomea kozi za afya pia wanahitajika

Deadline : March 19

Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-ifakara-health-institute-3/


▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
● Madereva 55 wanahitajika - WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA



● Maafisa vipimo -150 Wanahitajika

NAFASI 205 ZA KAZI - WAKALA WA VIPIMO - CHINI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

👉 Vigezo: Elimu kuanzia ya 4m4 na kuendelea

Deadline: March 19,2021

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/205-government-jobs-at-wakala-wa-vipimo-wma/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

Walimu wanahitajika- SHULE YA ISAMILO INTERNATIONAL SCHOOL

● Walimu wa kufundisha Primary School

● Walimu wa kufundisha Secondary School

➖History
➖Geography
➖Science Subjects
➖Mathematics
➖Arts subjects
➖Business Subjects
➖French
➖Computer
➖English
➖Economics
➖Psychology

Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/isamilo-international-school-primary-secondary-school-teachers-jobs/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

Vijana wa Fields wanahitajika - UTALIPWA VIZURI SANA

👉 Vigezo: Uwe umemaliza form 4 au form 6

📍 No Experience is needed

NAFASI ZA KAZI IFAKARA HEALTH INSTITUTE

● Interns Waliosomea kozi za afya pia wanahitajika

Deadline : March 19

Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-ifakara-health-institute-3/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

NAFASI ZA KAZI HOSPITALI YA OCEAN ROAD

👉 Vigezo: Elimu kuanzia ya 4m4 na Certificate

Deadline: March 19

Bonyeza Link-Kufahamu zaidi jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/the-ocean-road-cancer-institute-orci-4-job-opportunities/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

Wanahitajika Vijana 300 mikoa yote Tanzania , kwa ajili ya maandilizi ya Sensa

Vigezo :

📌 Umri kuanzia Miaka 18
📌 Elimu ya Kidato cha Nne na kuendelea

Deadline: March 14,2021

Bonyeza Link-Download Application Form & Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/300-temporary-job-vacancies-at-national-bureau-of-statistics-nbs/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🗣️ Utapewa zaidi ya Million.20 Tshs kwa ajili ya kukuza Wazo lako la biashara

WAZO CHALLENGE TANZANIA🇹🇿

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

💡 GOOD NEWS : STARTUP RESEAU WATANGAZA FURSA KWA WATANZANIA WENYE MAWAZO /PROJECTS ZENYE IMPACTS KWENYE JAMII

👉 Wanahitajika Vijana wa Kitanzania wenye Mawazo bora ya biashara/ yanayosaidia jamii katika sekta mbali mbali

➖ Financial Services
➖ Healthcare
➖Agriculture
➖Education
➖Energy/Utility

Vigezo :
● Uwe Mtanzania

💰 Watakaochaguliwa watapewa zaidi ya Million.20 Tshs na mentorship

Deadline: March 18,2021

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/wazo-challenge-tanzania-innovation-challenge-for-tanzanians-to-win-usd10000-grant/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
Anahitajika Msimamizi wa USAFI


NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA GRUMETI RESERVES TANZANIA



Deadline: March 31,2021

Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/grumeti-reserves-tanzania-limited-housekeeping-supervisor/
NAFASI ZA KAZI AMERICARES

📍Kwa waliosomea kozi za afya

● Medicine
● Nursing
● Midwifery
● Clinical fields

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/americares-technical-lead-family-planning/
NAFASI ZA KAZI ASILIA LODGES


Vigezo: Elimu kuanzia ya Diploma



Deadline March 20


Bonyeza Link-Tuma CV yako na Application letter & all documents kupitia Email kama ilivyoelekezwa
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-asilia-lodges-and-camps/
GOOD NEWS: FURSA KWA WATANZANIA YA MAFUNZO KWENDA GERMANY 🇩🇪


AFRIKA KOMMT Fellowship - Fully Funded to Germany

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬


👉 Utalipiwa kila kitu kwenda Nchini Ujerumani pamoja na gharama zote za kuishi


⏺️ Utalipwa + Allowances
⏺️ Utalipiwa gharama zote za usafiri ✈️
⏺️ Utalipiwa sehemu ya kuishi & bima ya afya

Vigezo :
● Uwe Mtanzania
● Umri usizidi miaka 35
● Uwe unajua Lugha ya kingereza na vigezo vingine

Deadline: April 02,2021

Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/the-afrika-kommt-fellowship-programme-2021-2023-for-future-leaders-for-future-leaders-from-africa-fully-funded-to-germany/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI EVOLVE PEOPLE SOLUTIONS

● Wanahitajika Waliosomea fani za Biashara & Engineering

Deadline: March 15

Maombi ya kazi yatumwe kwa njia ya Email kama ilivyoelekezwa
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/evolve-people-solutions-assistant-production-manager/
Kwa Wenye cheti cha Form Four

NAFASI ZA KAZI SERIKALINI HALMASHAURI YA WILAYA

Wanahitajika

● Watendaji wa Vijiji


● Mwenyekiti ya Bodi

Deadline: March 16


Bonyeza link kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-ushetu-district-march-2021/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬