OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
3K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
BREAKING NEWS: BENKI YA DUNIA NA SERIKALI YA JAPAN WAMETANGAZA UDHAMINI WA MASOMO KWA WATANZANIA-2020


BENKI YA DUNIA -SCHOLARSHIPS KWA WANAFUNZI WOTE TANZANIA KUSOMA NCHINI JAPAN (Fully Funded Scholarship)
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬


📌 UTALIPIWA KILA KITU NA BENKI YA DUNIA/SERIKALI YA JAPAN

👉 Utapewa zaidi ya million.3 Kila Mwezi-Fedha ya matumizi

👉 Utalipiwa Gharama zote za Usafiri kutoka Tanzania kwenda JAPAN na Kurudi✈

👉 Utalipiwa Ada zote za Masomo na Ada zote zinazohitajika Utalipiwa

👉 Utapewa Travel Allowance-zaidi ya Million.1 Tshs kila Utakaposafiri

Vigezo:

✔ Uwe Mtanzania
✔ Uwe Na Afya Njema
✔ Na vigezo vingine vilivyotajwa

Deadline: October 24,2019

Bonyeza Link-Jaza Fomu, Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/joint-japan-world-bank-graduate-scholarship-program-2020-for-developing-countries-nationals-fully-funded-to-japan
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
CHUO KIKUU-SOKOINE UNIVERSITY(SUA) KIMETANGAZA NAFASI ZA UDHAMINI WA MASOMO KWA WATANZANIA

SUA- Fully Funded Scholarships( UDHAMINI WA MASOMO KWA WATU WANAOTAKA KUSOMEA KOZI ZILIZOPO SUA

📣 Utalipiwa Kila kitu!! fully Sponsorship

✔ Utapewa fedha za matumizi(Stipend) Kipind cha masomo

✔ Utalipiwa Ada -(Tuition Fees)

✔ Utalipiwa Gharama zote za Researchs

✔ Utalipiwa Gharama zote muhimu kipindi cha masomo

Deadline: October 10,2019

Bonyeza Link- Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/sua-full-sponsorship-for-studies-leading-to-the-award-of-an-msc-fully-funded-scholarship/
NAFASI 50 ZA KAZI KAMPUNI YA USAFIRI- GALCO LIMITED


● Wanahitajika MADEREVA 50


Deadline: Sept 30,2019


NOTE: Maombi Yapelekwe Ofisi za kampuni husika


Bonyeza Link-Kufahamu zaidi
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/50-jobs-opportunities-at-galco-limited-drivers/
TAARIFA KWA UMMA - 4TH ROUND
542.4 KB
TCU : TAARIFA KUHUSU KUONGEZEKA KWA MUDA WA UDAHILI


TAARIFA KWA UMMA - 4TH ROUND
BENKI YA STANDARD CHARTERED YATANGAZA NAFASI ZA INTERNSHIPS KWA WANAFUNZI NA WAHITIMU VYUO WA VIKUU TANZANIA

INTERNSHIPS-NAFASI ZA KAZI BENKI YA STANDARD CHARTERED
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬


NO EXPERIENCE NEEDED!!

Vigezo:

✔ Uwe Finalist au Muhitimu wa Chuo

✔ Uwe na tayari kufanya kazi kwa Muda katika nchinutakayo apply

✔ Uwe umekizi Vigezo Vya kufanya kazi Nchi utakayo-Apply


Deadline: Sept 30,2019

Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/standard-chartered-bank-2020-internship-international-graduate-programme-for-young-africans/
GOOD NEWS KWA WANAWAKE!!

OPRAH WINFREY-AMETANGAZA NAFASI ZA UDHAMINI WA MASOMO KWA WANAWAKE KUSOMA MAREKANI 2020
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

UTALIPIWA KILA KITU! Fully Funded💥


OPRAH WINFREY FOUNDATION AFRICAN WOMEN


✳ Utalipiwa Ada zote kipind cha masomo

✳ Utalipiwa Gharama zote za Usafiri kwenda na kurudi✈

✳ Utapewa fedha za matumizi ya kila siku

✳ Utapewa Accomodation na gharama za kujikimu

Vigezo:

✔Uwe Mtanzania
✔Degree Graduates

Deadline: December 02,2019

Bonyeza link-Apply Jaza Fomu-KUFAHAMU JINSI YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/oprah-winfrey-foundation-african-womens-public-service-fellowship-2020-for-study-in-usa-fully-funded/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
HESLB-Download PDF FILE YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KU-APPLY MKOPO 2019/2020


ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WANAOTAKIWA KUSAHIHISHA MAOMBI YA MKOPO 2019/2020
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

✔ Wanafunzi wote wanatakiwa Kufanya marekebisho (Deadline Tarehe 3, October 2019)



✔ Download PDF File ya Majina na Vitu wanavyotakiwa Kurekebisha

Bonyeza Link-Kupakua PDF File yenye majina Ya wanafunzi wote
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/heslb-list-of-applicants-to-correct-their-loan-applications-2019-2020-incomplete-verified-report/
GOOD NEWS KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA FORM SIX AU DIPLOMA

WIZARA YA ELIMU: YATANGAZA UDHAMINI WA MASOMO-SCHOLARSHIPS KWA WANAFUNZI WALIO FAULU FORM SIX AU DIPLOMA


📌 SCHOLARSHIPS KWA AJILI YA KUSOMEA UNDERGRADUATES DEGREE 2020 NCHINI KOREA

*Vigezo

》 •Uwe Mtanzania
》 •Uwe umemaliza Form Six au Diploma

UTALIPIWA KILA KITU KWENDA KUSOMA NCHINI KOREA✈️

✔️ Utalipiwa gharama za Usafiri

✔️ Utalipiwa Ada zote Kipindi cha masomo

✔️ Utalipwa makazi ya kuishi kipind cha masomo

✔️ Utalipwa kila mwezi Fedha ya matumizi binafsi ( Million.1.7 Tshs)

✔️ Utalipiwa Maswala ya bima ya afya

✔️ Utapewa Allowances kila mwezi💰

Deadline: October ,3 2019


Bonyeza Link -kufahamu jinsi ya Ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/wizara-ya-elimu-scholarship-for-2020-global-korea-scholarship-gks-for-undergraduate-degreefully-funded/
🚨BREAKING NEWS: UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA-UMETANGAZA FURSA YA UDHAMINI KWA VIJANA 700 KWENDA MAREKANI 2020

Vijana 700 Wanahitajika -Kwenda Marekani kwa ajili ya mafunzo
________________________________

YALI 2020 MANDELA WASHINGTON FELLOWSHIPS FOR YOUNG LEADERS 2020

👉 UTALIPIWA KILA KITU-Fully Funded to U.S.A🔥🇺🇸


✳ Utalipiwa Gharama zote za Usafiri & Visa✈️
✳ Utapewa fedha za matumizi ya kila siku
✳ Utapewa Accomodation na gharama za kujikimu

Vigezo

✔ Vijana Wote Wanaruhusiwa Ku-Apply Kulingana na vigezo vilivyotajwa

Deadline:October 9,2019

Bonyeza link-Apply Jaza Fomu-KUFAHAMU JINSI YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/yali-2020-mandela-washington-fellowship-for-young-african-leaders-fully-funded-to-the-united-states-of-america/