OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
3.01K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
WAZO LA BIASHARA

BIASHARA YA KUTENGENEZA NA KUUZA KEKI

sehemu ya 1.

FAHAMU JINSI YA KUTENGENEZA KEKI YA CHOCOLATE



Vipimo  

1.Maji yaliyochemka -  2 Vikombe vya chai 

2.Unga wa kaukau (cocoa powder) -  1 Kikombe 

3.Unga -  2 ¾ Vikombe 

4.Baking soda - 2 Vijiko vya chai 

5.Baking powder -  ½ Kijiko cha chai 

6.Chumvi -  ½ Kijiko cha chai 

7.Siagi iliyolainika - 1 Kikombe 

8.Sukari -  2 ¼ Vikombe 

9.Mayai -  4 

10.Vanilla -   1 ½ Kijiko cha chai 
 

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

👉👉 Washa oveni moto wa 350° F. Kisha paka siagi/mafuta treya ya kuchomea keki.Katika bakuli la kiasi, mimina yale maji ya moto yaliyochemka juu ya unga wa kaukau (cocoa powder), na uchanganye (kwa whisking spoon) hadi ilainike, kisha iyache ipoe.Kwenye bakuli la kiasi, chunga pamoja unga, baking soda, baking powder na chumvi na uweke kando.Katika bakuli la mashine, changanya (cream) siagi na sukari pamoja mpaka ilainike vizuri.Kisha tia yai moja baada ya jengine huku unaendelea kuchanganya, halafu tia vanilla, kisha tia mchanganyiko wa unga halafu tia ule mchanganyiko wa kaukau ulouweka kando.Mimina kwenye treya ya kuchomea keki na uvumbike (bake) kwenye oveni kwa muda wa dakika 25 – 30.Iache ipoe halafu itayarishie malai ya chokoleti (cream chocolate).   

Vipimo Vya Malai Ya Chokoleti (cream chocolate) 

1.Siagi -  ¼ Kikombe 

2.Sukari laini (icing sugar) -  1 Kikombe 

3.Unga wa kaukau (cocoa powder) -  1 Kijiko cha supu 

4.Maji ya moto -  2 Vijiko vya supu 

Namna Ya Kutayarisha  

👉👉 Katika bakuli la mashine, changanya vipimo vyote hadi ilainike vizuri. Unaweza kuongeza maji ikiwa mchanganyiko ni mzito sana.Kisha unapaka juu ya keki iliyopoa kwa kutumia kisu cha siagi au mwiko uliobapa (flat).Kisha tia mchanganyiko wa malai ya sukari kiasi katika mirija/nozeli (icing tube/icing nozzle) ili itoe usanifu (design) juu ya keki kama ilivo kwenye picha hapo juu au upendavyo.  Kata vipande saizi upendayo. 

 
🚨BREAKING NEWS: BENKI YA DUNIA YATANGAZA SHINDANO LA KUANDIKA ESSAY KWA WATANZANIA KUHUSU -NDOA ZA WATOTO TANZANIA



Essay kuhusu :Njia za kumaliza Tatizo la Ndoa za Watoto Tanzania


● Washindi watapata
Fursa ya kufanya kazi Benki ya Dunia (Internships)

● Washindi watapewa zawadi nono na Benki ya dunia💰💰

● Washindi watapewa Udhamini -Fully Funded kwenda Marekani-kuhudhuria Mkutano wa IMF

Vigezo:

▪ Uwe Mtanzania
▪ Uwe na umri kuanzia Miaka 18

Deadline: November 30,2019

Bonyeza Link Kufahamu zaidi -MAELEKEZO
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/world-bank-africa-region-2020-blog4dev-essay-contest-for-young-africans-chance-to-intern-at-a-world-bank-africa-country-office-attend-imf-spring-meetings-2020-in-washington-dcusa/
🚨 GOOD NEWS: UBALOZI WA UINGEREZA WATANGAZA FURSA KWA VIJANA TANZANIA WENYE MAWAZO YA BIASHARA


Habari njema kwa wenye: Mawazo ya Biashara/Business Ideas

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬


● Utapewa Mtaji zaidi ya Million.40 Tshs


BRITISH COUNCIL YATANGAZA FURSA KWA VIJANA WENYE MAWAZO YA BIASHARA au PROJECT ZITAKAZO LETA MAENDELEO KWENYE JAMII



● Utapewa Mtaji wa Fedha zaidi ya Million.40 Tshs

● Utapewa mafunzo na usimamizi jinsi ya kukuza Biashara/ Idea yako

Deadline: 10,January 2020


Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/british-council-ideaschangelives-global-innovation-challenge-2019-win-20000-prize/
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA RTI INTERNATIONAL


• Ajira kwa waliosomea kozi za Biashara

• Ajira kwa waliosomea kozi za Mazingira


Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-rti-international/
AJIRA MPYA ZA UWALIMU-NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA KAZINI KWETU LIMITED

wanahitajika

● Walimu wanahitajika

● Ajira kwa waliosomea kozi za Biashara

● Ajira Kwa Waliosomea Education-Early Child

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-kazini-kwetu/
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA WASSHA INC

● Ajira- Elimu kuanzia ya Diploma

wanahitajika Suppliers Mikoa:

• Mbeya
• Shinyanga
• Rukwa

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-tanga-shinyanga-rukwa-and-mbeya-at-wassha-inc-supply-chain-management-officers/
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA MO DEWJI


● Ajira -Elimu kuanzia ya Diploma


Mshahara : 500,000 Tshs

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/new-jobs-at-mohammed-enterprises-tanzania-ltd-metl-tracking-customer-care/
WAZO LA BIASHARA



MASHINE YA KUFULIA INALIPA......... !!!

KUNA WATU WANATENGENEZA ZAIDI YA 500,000Tshs kwa week!!




Kuna siku katika harakati zangu nliingia Bank flan kufungua account..... Nlipenda huduma ya pale Bank kiasi kwamba hadi yule aliyekuwa ananihudumia akawa kama rafiki yangu...Huku anaendelea kunihudumia,.... alikuwa anaongea sana na wafanya wake pamoja namimi......

Katika zile story zake zote nlisikia jamaa akilalamika Kuwaambia wenzake kuwa "YULE JAMAA ANAYECHUKUAGA NGUO, WEEK HII HAKUJA".... na wenzake pia walikuwa wanalalamika icho kitu!!!..... Yule jamaa akaniuliza kuna sehemu ingine wanatoa huduma kama hiyo iyo...Kama naifahamu??...(YANI MASHINE YA KUFULIA)....kiukweli mimi mwenyewe nlikua sijui..!!

Na ndipo WAZO LIKANIJIA HAPO HAPO KUMBE HII NAYO NI BIASHARA NA WATU WANAPIGA PESA!! 😅

Kwamaana jamaa aliniambia analipia elfu.10 kila week na wako kama 5 hapo kazini...yan uyo jamaa anawafataga kila weekend kuchukua nguo......!!


Nlijaribu kutafuta mtu anayefanya biashara kama hiyo...kwa maeneo nlipo , nliulizia nkikosa!!..Ila nlipewa na namba ya mtu anayefanya biashara kama hiyo Dar......


Nliwasiliana nae uyo jamaa , kiuweli naweza kusema alinifungua sana na aliniambia baadhi ya mambo ambayo ningependa kushea hapa Kuhusu hii biashara!!!!.....


Inaendelea......