OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
3.01K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
🚨BREAKING NEWS: BENKI YA DUNIA YATANGAZA SHINDANO LA KUANDIKA ESSAY KWA WATANZANIA KUHUSU -NDOA ZA WATOTO TANZANIA



Essay kuhusu :Njia za kumaliza Tatizo la Ndoa za Watoto Tanzania


● Washindi watapata
Fursa ya kufanya kazi Benki ya Dunia (Internships)

● Washindi watapewa zawadi nono na Benki ya dunia💰💰

● Washindi watapewa Udhamini -Fully Funded kwenda Marekani-kuhudhuria Mkutano wa IMF

Vigezo:

▪ Uwe Mtanzania
▪ Uwe na umri kuanzia Miaka 18

Deadline: November 30,2019

Bonyeza Link Kufahamu zaidi -MAELEKEZO
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/world-bank-africa-region-2020-blog4dev-essay-contest-for-young-africans-chance-to-intern-at-a-world-bank-africa-country-office-attend-imf-spring-meetings-2020-in-washington-dcusa/
🚨 GOOD NEWS: UBALOZI WA UINGEREZA WATANGAZA FURSA KWA VIJANA TANZANIA WENYE MAWAZO YA BIASHARA


Habari njema kwa wenye: Mawazo ya Biashara/Business Ideas

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬


● Utapewa Mtaji zaidi ya Million.40 Tshs


BRITISH COUNCIL YATANGAZA FURSA KWA VIJANA WENYE MAWAZO YA BIASHARA au PROJECT ZITAKAZO LETA MAENDELEO KWENYE JAMII



● Utapewa Mtaji wa Fedha zaidi ya Million.40 Tshs

● Utapewa mafunzo na usimamizi jinsi ya kukuza Biashara/ Idea yako

Deadline: 10,January 2020


Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/british-council-ideaschangelives-global-innovation-challenge-2019-win-20000-prize/
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA RTI INTERNATIONAL


• Ajira kwa waliosomea kozi za Biashara

• Ajira kwa waliosomea kozi za Mazingira


Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-rti-international/
AJIRA MPYA ZA UWALIMU-NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA KAZINI KWETU LIMITED

wanahitajika

● Walimu wanahitajika

● Ajira kwa waliosomea kozi za Biashara

● Ajira Kwa Waliosomea Education-Early Child

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-kazini-kwetu/
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA WASSHA INC

● Ajira- Elimu kuanzia ya Diploma

wanahitajika Suppliers Mikoa:

• Mbeya
• Shinyanga
• Rukwa

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-tanga-shinyanga-rukwa-and-mbeya-at-wassha-inc-supply-chain-management-officers/
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA MO DEWJI


● Ajira -Elimu kuanzia ya Diploma


Mshahara : 500,000 Tshs

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/new-jobs-at-mohammed-enterprises-tanzania-ltd-metl-tracking-customer-care/
WAZO LA BIASHARA



MASHINE YA KUFULIA INALIPA......... !!!

KUNA WATU WANATENGENEZA ZAIDI YA 500,000Tshs kwa week!!




Kuna siku katika harakati zangu nliingia Bank flan kufungua account..... Nlipenda huduma ya pale Bank kiasi kwamba hadi yule aliyekuwa ananihudumia akawa kama rafiki yangu...Huku anaendelea kunihudumia,.... alikuwa anaongea sana na wafanya wake pamoja namimi......

Katika zile story zake zote nlisikia jamaa akilalamika Kuwaambia wenzake kuwa "YULE JAMAA ANAYECHUKUAGA NGUO, WEEK HII HAKUJA".... na wenzake pia walikuwa wanalalamika icho kitu!!!..... Yule jamaa akaniuliza kuna sehemu ingine wanatoa huduma kama hiyo iyo...Kama naifahamu??...(YANI MASHINE YA KUFULIA)....kiukweli mimi mwenyewe nlikua sijui..!!

Na ndipo WAZO LIKANIJIA HAPO HAPO KUMBE HII NAYO NI BIASHARA NA WATU WANAPIGA PESA!! 😅

Kwamaana jamaa aliniambia analipia elfu.10 kila week na wako kama 5 hapo kazini...yan uyo jamaa anawafataga kila weekend kuchukua nguo......!!


Nlijaribu kutafuta mtu anayefanya biashara kama hiyo...kwa maeneo nlipo , nliulizia nkikosa!!..Ila nlipewa na namba ya mtu anayefanya biashara kama hiyo Dar......


Nliwasiliana nae uyo jamaa , kiuweli naweza kusema alinifungua sana na aliniambia baadhi ya mambo ambayo ningependa kushea hapa Kuhusu hii biashara!!!!.....


Inaendelea......
Jamaa aliniambia hii biashara watu wengi bado hawajashtuka!! Na ata ambao wachache wanaifanya...Hawajui jinsi ya kuifanya..!!!..


UZURI WA HII BIASHARA...UKIPATA WATEJA, YAN WATEJA WAKO NI HAO HAO WA KUDUMU MILELE😄


Huwa napenda kusema Kila biashara Inalipa , Ishu ipo ni UNAIFANYAJE ??? Na Utapataje wateja???


Bei ya mashine ya Kufulia ...zipo za AINA NYINGI......


Yani bei inaanzia kuanzia 500K hadi Million 1 au zaidi..... Ila nyingi nlizoana bongo...nuzri wanauza 900K Tshs!!

Sasa embu tuashumu wewe umenunua ile bora kabisa ya 1M Tshs na umepata ofisi /frame nzuri kila kitu kwa bajeti yako unayoijua mwenyewe...


Ishu ipo kwenye kutafuta WATEJA!!!..

Zingatia mambo haya!!


● Mimi nlishaongeleaga swala la Branding.....Hakikisha Ume brand Biashara yako ni iwe Official....!! USIFANYE VITU KIENYEJI enyeji',.... ( Biashara yako iwe na Jina, Logo, documentation, Mikataba, usajili, Ofisi, social Media Accounts n.k) & PROMOTE YOUR BUSINESS


● Kwa teknolojia inavyokuwa unaweza pia kutengeneza Mobile app...ambayo.mtu anaweza ku -Book au kuweka order.... Online!!

● Tambua, aina ya wateja wako ni watu wa aina gani..... WATU WANAOPENDA KUTUMIA HIZO, wengi wao ni wale mabachelor na wako busy !! Au watu wale wanaoshindaga maofisini



Sasa hapa kwenye kutafuta wateja.....unahitaji ORDER ZA WATU 50 tuuh kutengeneza Laki.5 kwa week!!!



Kama kweli utaweza kutafuta Wateja.....ambao unajua ukilenga maofisi flan au majumba flan Huwezi kosa watu watakayohitaji huduma hiyo!!!......


Sasa achana na kutafuta watu....KUNA HIZI LODGE, GUEST NA MAHOTELI!!!


yan ukifanikiwa Kupata GUEST ZAKO kama 20 hivi...uwe unaenda kuchukua Nguo kule au LODGE au Mahoteli...bhasi hapo ni uhakika wa WATEJA WA KUDUMU!!!


huyo jamaa ndio kitu anachofanya sasa.... yeye anakwambia aliwatafuta hawa wamiliki wa magest House kama 50 hivi...alibahatisha hapo kupewa tender za Kufulia Gesti kama 32 !!..na anakwambia saivi ana tender ya hotels kama 8 tayar....!! Yeye kazi yake ni Huduma ya Kufua tuh!!...kwahiyo wanaenda kuchukua Nguo na nakuzirudisha !!



Sasa kama ana guest moja..anakwambia anaweza wapangia Bei ata 30 Kwa week !! Na anawafulia kila siku..ila anachukua 30K yake kila week na zipo gest kama 30....means anapata kiasi kizuri na ni uhakika..kwamaana AMEINGIA NAO MKATABA😃😃...... hapo bado kuna wale watu wake wanao order kufuliwa......uhakika kwake minimum sio chini ya LAKI.5 kwa week FAIDA..!!



Sio kazi rahisi kufikia level hiyo...lakini kila kitu kinawezekana.... Ishu ipo kwenye kupata hizo TENDER ZA MAHOTEL /GUEST/LODGE na WATU....



Mimi lengo langu ni kuleta WAZO LA BIASHARA tuuh...so kazi kwako kama umelipenda na kuanzia kulifanyia kazi!!


Asanteni!!

© Imeandaliwa na Kuandikwa na Unistoretz Inc


Kwa maoni na Ushauri wasiliana nasi

unistoretz9@gmail.com