OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
3.01K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
WAZO LA BIASHARA....


JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA Facebook na Google kwa kimiliki Mobile App

Habari wadau....


LEO NITAELEZEA INTRODUCTION TUUH.....alafu kesho ndio nitaanza kuelezea KIUNDANI ZAIDI.....
JINSI YA KUINGIZA PESA KUPITIA FACEBOOK na GOOGLE


Unajua Fursa za kujiingizia kipato ONLINE ni nyingi sana...!!

Watu wengi wanafikiri Ili kuwa na biashara ni Lazima uwe unaenda Ofisini, umevaa vizuri, n.k.... Lakini kuna watu wanahitaji Internet tuuh ...wanakaa kitandani au ndani wakiwa na LAPTOP/KOMPYUTA wanaingiza zaidi ya Million.1 kwa siku ( ndio namaanisha $500/ per day)....


Siku hizi Teknolojia imekuwa na inazidi kukuwa sana..na ndio maana SIO LAZIMA UTAFUTE FRAME YA DUKA kariakoo...ila unaweza Fungua ONLINE STORE kama KIKUU na watu wakanunua bidhaa kama kawaida....!!

Zipo Biashara watu wanavyofanya online ambazo watu wanatumia KUJIPATIA KIPATO


Mfano wa Online Businesses

👉 Kumilikia Youtube Channel ( Nilishaelezea hii..jinsi ya kutengeneza pesa kupitia Youtube)


👉 Dropshipping ( Nitaelezea)

👉 Cryptocurrency & Forex market (nitaelezeq)

👉 Blog/ Mobile apps (ndio somo letu la leo)

👉 Freelancers

👉 Online Brokers

👉 Na njia zingine nyingi


LEO NITAELEZEA KUHUSU Kumiliki Mobile app..
Ambayo Utakuwa UNALIPWA na Facebook( Facebook Ad Netwoek) na Google(Google adsense)!!
.........
Unawezaje kuingiza Pesa kupitia Facebook na Google???



JIBU NI KWA KUMILIKI- Mobile Application ( mobile app)


🛑 KUMILIKI MOBILE APP ...SIO LAZIMA uwe umesomea IT !! MTU YOYOTE YULE ANAWEZA MILIKI APP NA AKAPIGA PESA KAMA KAWAIDA!!!!....
Unahitaji kuwa na mobile application yako inaweza iwe android au ios ..!!!



🔵 Mambo gani ya kuzingatia kabla ya kumiliki App??

👉 Lazima Uwe na Idea / Niche!!

▪ Kabla ya kuanzia kutengeneza app lazima ujue..utaweka Content ya aina gani uko....mfano

▪ Utamfata mtu anayejua kutengeneza app utamwambia..

Nataka kutengeneza app...labda ya miziki, ya kuhusu story za mapenzi, ya kuhusu makala za Afya, app ya habari za udaku, app ya mapishi , app ya makeup ,app ya elimu, nk....


👉 Lazima utafute mtu mzoefu au anayefanya biashara kama hiyo..aweze kukupa elimu na kushea uzoefu jinsi ya kuendesha biashara hiyo


👉 Lazima uwe na Mtaji (nashauri ISIWE CHINI YA MILLION.1 Tshs japo inawezekana ata kwa laki.3).....Nakazia hapa....Ili kifanikiwa hii biashara ni lazima uwe na mtaji isiwe chini ya $500-NITAELEZEA HAPA KWANINI NA BUDGET NZIMA

👉 Ni lazima uwe na DISCPLINE !! Kama hauna Discpline wala ata usijisumbue kufanya hii biashara....DISCPLINE ya hapa Ni kufuata SHERIA ZILIZOWEKWA NA GOOGLE na Facebook wenyewe!!

👉 Lazima uwe na Laptop /Kompyuta ..pamoja na smartphone...HII NDIO OFISI YAKO.....



ITAENDELEA........
Kesho nitaeleza KIUNDANI KUHUSU BIASHARA HII...hatua kwa hatua...!


Nitaelezea Jinsi ya kuwekeza Million.1 Tuuh...katika biashara hii....na ukawa unatengeneza sio chini ya elfu.50 Tshs kwa siku...!!!
NAFASI ZA KAZI TANGA-UWASA


wanahitajika

● Madereva

Vigezo: Elimu kuanzia cheti cha 4m4 na Leseni




Na ajira kwa waliosomea Fani hizi

● Finances

● Marketing

● Business Admimistration

● Business Fields

Deadline: Novemver 20,2019

Bonyeza Link-Kufahamu JINSI YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/nafasi-za-kazi-tanga-uwasa-drivers-ii/
NAFASI ZAIDI YA 270 ZA KAZI KIWANDA CHA KARANGA LEATHER


NAFASI ZAIDI YA 270 ZA KAZI


Elimu: Ajira kuanzia Elimu ya 4m4 / Diploma

Deadline: Nov 25,2019


Bonyeza Link-Kufahamu JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/260-jobs-at-karanga-leather-industries-company/
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA RODESO

Wanahitajika Nafasi hizi

● Madereva Wanahitajika

● Walinzi wanahitajika

● Waliosomea IT au Kompyuta

● Waliosomea Socialogy

● Waliosomea Environmental Sciences

● Waliosomea Maswala ya Nishati/Energy

● Waliosomea community Development

Deadline: November 27,2019

Bonyeza Link-Kufahamu zaidi
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-relief-to-development-society-redeso/
OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
NAFASI ZAIDI YA 270 ZA KAZI KIWANDA CHA KARANGA LEATHER NAFASI ZAIDI YA 270 ZA KAZI Elimu: Ajira kuanzia Elimu ya 4m4 / Diploma Deadline: Nov 25,2019 Bonyeza Link-Kufahamu JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI 👇👇👇👇👇👇👇👇👇 http://www.unistoretz.com/magazine/260…
Habari ...!!

Kuna watu wana Comment bila ata ya kusoma MAELEKEZO YA TANGAZO HUSIKA KWA UMAKINI.....


Ushauri wetu; Tunapotuma Tangazo la kazi humu hakikisha UNAFUNGUA LINK na kusoma Tangazo la kazi husika kwa umakini


Kama mtu ameshindwa kusoma tuuh maelekezo madogo ya TANGAZO LA KAZI.....Hiyo kazi ndio atapata???.....itakuwa ngumu!!


Mfano mzuri ni hili tangazo la kazi....!! Mtu anasema hajaona sehemu ya ku apply au email..wakati maelekezo yako wazi kabisa...!! TANGAZO LINASEMA UTUME MAOMBI YAKO YA KAZI KWA NJIA YA BARUA KWA ANUANI ILIYOWEKWA au UNAWEZA PELEKA MAOMBI YA KAZI MOJA KWA MOJA KWENYE OFISI ZAO!!
HATUA ZA KUJAZA FOMU YA RUFAA-HESLB
Updated!!

NAFASI 71 ZA KAZI SHIRIKA LA RODESO


Wanahitajika Nafasi hizi

● Madereva Wanahitajika

● Walinzi wanahitajika

● Waliosomea IT au Kompyuta

● Waliosomea Socialogy

● Waliosomea Environmental Sciences

● Waliosomea Maswala ya Nishati/Energy

● Waliosomea community Development

Deadline: November 27,2019

Bonyeza Link-Kufahamu zaidi
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/71-jobs-vacancies-at-relief-to-development-society-redeso/
WALIMU WANAHITAJIKA-NAFASI 15 ZA KAZI TELKIN LIMITED

• Walimu

• Laboratory Technicians wanahitajika

Bonyeza Link-Kufahamu JINSI ya kutuma maombi
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/15-jobs-at-informatics-telkom-ltd-science-teachers-laboratory-technicians/
NAFASI 5 ZA KAZI KAMPUNI Y BAMM SOLUTIONS

Wanahitajika: Ajira Elimu kuanzia ya Diploma

Deadline: November 20,2019

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/5-job-opportunities-at-bamm-solution-t-limited/