WAZO LA BIASHARA
BIASHARA YA KUTENGENEZA NA KUUZA KEKI
sehemu ya 1.
FAHAMU JINSI YA KUTENGENEZA KEKI YA CHOCOLATE
Vipimo
1.Maji yaliyochemka - 2 Vikombe vya chai
2.Unga wa kaukau (cocoa powder) - 1 Kikombe
3.Unga - 2 ¾ Vikombe
4.Baking soda - 2 Vijiko vya chai
5.Baking powder - ½ Kijiko cha chai
6.Chumvi - ½ Kijiko cha chai
7.Siagi iliyolainika - 1 Kikombe
8.Sukari - 2 ¼ Vikombe
9.Mayai - 4
10.Vanilla - 1 ½ Kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
👉👉 Washa oveni moto wa 350° F. Kisha paka siagi/mafuta treya ya kuchomea keki.Katika bakuli la kiasi, mimina yale maji ya moto yaliyochemka juu ya unga wa kaukau (cocoa powder), na uchanganye (kwa whisking spoon) hadi ilainike, kisha iyache ipoe.Kwenye bakuli la kiasi, chunga pamoja unga, baking soda, baking powder na chumvi na uweke kando.Katika bakuli la mashine, changanya (cream) siagi na sukari pamoja mpaka ilainike vizuri.Kisha tia yai moja baada ya jengine huku unaendelea kuchanganya, halafu tia vanilla, kisha tia mchanganyiko wa unga halafu tia ule mchanganyiko wa kaukau ulouweka kando.Mimina kwenye treya ya kuchomea keki na uvumbike (bake) kwenye oveni kwa muda wa dakika 25 – 30.Iache ipoe halafu itayarishie malai ya chokoleti (cream chocolate).
Vipimo Vya Malai Ya Chokoleti (cream chocolate)
1.Siagi - ¼ Kikombe
2.Sukari laini (icing sugar) - 1 Kikombe
3.Unga wa kaukau (cocoa powder) - 1 Kijiko cha supu
4.Maji ya moto - 2 Vijiko vya supu
Namna Ya Kutayarisha
👉👉 Katika bakuli la mashine, changanya vipimo vyote hadi ilainike vizuri. Unaweza kuongeza maji ikiwa mchanganyiko ni mzito sana.Kisha unapaka juu ya keki iliyopoa kwa kutumia kisu cha siagi au mwiko uliobapa (flat).Kisha tia mchanganyiko wa malai ya sukari kiasi katika mirija/nozeli (icing tube/icing nozzle) ili itoe usanifu (design) juu ya keki kama ilivo kwenye picha hapo juu au upendavyo. Kata vipande saizi upendayo.

NAFASI ZA KAZI CHUO CHA BUGANDO
● Elimu kuanzia ya Diploma
Deadline: December 31,2019
Bonyeza Link-Kufahamu jins ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-vcancies-at-catholic-university-of-health-and-allied-sciences-cuhas/

Unistoretz
Jobs Vcancies at Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) | Unistoretz
The Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC), provides training…
NAFASI ZA KAZI VODACOM TANZANIA
● Head of M-Pesa anahitajika
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-vodacom-tanzania-head-of-compliance-m-pesa/
● Head of M-Pesa anahitajika
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-vodacom-tanzania-head-of-compliance-m-pesa/
NAFASI ZA KAZI SERIKALINI
● Elimu ya Form Four/form six
Deadline: September 06,2019
Bonyeza Link-Kufahamu zaidi
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/7-job-vacancies-at-nyanghwale-district-council/
● Elimu ya Form Four/form six
Deadline: September 06,2019
Bonyeza Link-Kufahamu zaidi
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/7-job-vacancies-at-nyanghwale-district-council/
Unistoretz
7 Job Vacancies at Nyang'hwale District Council | Unistoretz
New Government Jobs at Nyang’hwale District Council | Deadline 06th September, 2019 Nyang’hwale District is one of the five districts of Geita Region of Tanzania. [...]
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA NDEGE QATAR AIRWAYS
• Elimu ya Form Six
● Wahudumu wa Kwenye Ndege
Deadline: September 10,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-at-qatar-airways-airport-services-agent/
• Elimu ya Form Six
● Wahudumu wa Kwenye Ndege
Deadline: September 10,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-at-qatar-airways-airport-services-agent/
NAFASI ZA KAZI- KAMPUNI YA MO DEWJI-METL GROUP
Deadline: October 10,2019
Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-mohammed-enterprises-tanzania-ltd-metl/
Deadline: October 10,2019
Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-mohammed-enterprises-tanzania-ltd-metl/
Unistoretz
Jobs at Mohammed Enterprises Tanzania Ltd - MeTL | Unistoretz
MeTL Group is a leading economic force in Tanzania with major investments and successful operating companies in key business sectors. The Group employs more than [...]
2nd ROUND-FORM FIVE SELECTIONS 2019
[Downlpad PDF FIle]-SELECTIONS ZA FORM FIVE AWAMU YA PILI 2019
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🚨 MAJINA MENGINE-AWAMU YA PILI YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2019/2020
📌 TAMISEMI wametangaza majina mengine ya wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne-kujiunha na 4m5
📌 [PDF FILE] YA MAJINA YA SELECTIONS -2nd Round 4m5, shule na kozi walizopangiwa
Bonyeza Link hapa Kupakua-PDF FILE
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/second-round-form-five-selections-2019-selections-form-five-2019-2020/

Second Round Form five Selections 2019 -Selections form Five 2019/2020
Second round form five selections 2019 | Selections Form Five 2019 | Selections za kidato cha tano 2019 | TAMISEMI Form Five selections 2019
NAFASI ZA KAZI- FOUR SEASONS LODGE-SERENGETI
● Elimu ya Diploma,Ajira mpya
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/new-jobs-at-four-seasons-safari-lodge-serengeti-sales-manager/
● Elimu ya Diploma,Ajira mpya
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/new-jobs-at-four-seasons-safari-lodge-serengeti-sales-manager/
Unistoretz
New Jobs at Four Seasons Safari Lodge Serengeti, Sales Manager | Unistoretz
Sales Manager Job Description Summary Sales Manager for Four Seasons Safari Lodge Serengeti selling North and South America; Transient and Group business. Can be [...]
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA BIMA-JUBILEE
● Wanahitajika Mawakala, Mikoa yote
Deadline: September 04,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-jubilee-insurance-sales-agents/
● Wanahitajika Mawakala, Mikoa yote
Deadline: September 04,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-jubilee-insurance-sales-agents/
Unistoretz
Jobs at Jubilee Insurance, Sales Agents | Unistoretz
Position: Bancassurance Relationship Officers (BRO) Job Location: DAR ES SALAAM, DODOMA, ARUSHA, MWANZA Jubilee Insurance was established in August 1937, as the first locally incorporated Insurance Company [...]
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA TCCIA, SACCOS JOBS
Deadline: september 10,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-tccia-saccos-cum-manager/
Deadline: september 10,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-tccia-saccos-cum-manager/
Unistoretz
Jobs Opportunities at TCCIA, Saccos Cum Manager | Unistoretz
Position: Saccos Cum Manager Job Summary Working Station – Simanjiro Work duration – 7Month. Starting date – 10/9/2019. Minimum Qualification: Diploma Experience Level: Management level Experience [...]
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA ICAP -COLUMBIA UNIVERSITY
● Waliosomea Kozi za Biashara
Deadline:September 06,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-icap-finance-assistant-mobile-payments/
● Waliosomea Kozi za Biashara
Deadline:September 06,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-icap-finance-assistant-mobile-payments/
Unistoretz
Jobs at ICAP, Finance Assistant Mobile Payments | Unistoretz
Finance Assistant Mobile Payments Job Summary Working under the supervision of the Senior Accountant, the Accountant will assist in the day-today accounting and financial activities [...]
HABARI...
KARIBU KUPAKUA APP YETU MPYA YA Unistore
🔘 Utaweza Kupata Updates zote kupitia App yetu na mambo mengi zaidi
Bonyeza Link hapa ku-Install
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.unistoretz