NAFASI ZA KAZI MUHIMBILI UNIVERSITY
Wanahitajika nafasi hizi
Vigezo: Elimu ya Certificate au Diploma
● Laboratory Technicians
● Waliosomea Ufundi wanahitajika
● Wataalamu wa Kuchora wanahitajika
Deadline: March 14
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-muhas-march-2021/

NAFASI ZA KAZI MGODI WA DHAHABU - NORTH MARA
📌 Vigezo : Elimu ya Certificate/ Diploma
Bonyeza Link-Kufahamu zaidi, Jinsi ya kutuma maombi ya kazi
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/north-mara-gold-mine-limited-job-opportunities-4-posts/

Unistoretz
North Mara Gold Mine Limited, Job Opportunities- 4 POSTS | Unistoretz
North Mara Gold Mine Limited, Jobs at North Mara Gold Mine Limited, Nafasi za kazi North Mara Gold Mine Limited
AJIRA ZA UWALIMU
WALIMU WANAHITAJIKA- NAFASI ZA KAZI IRINGA INTERNATIONAL SCHOOL
● Walimu wa kufundisha Middle School
Deadline: March 30,2021
Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/teaching-jobs-at-iringa-international-school-for-academic-year-2021-2023/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

AJIRA MPYA ZA UWALIMU
🔮 WALIMU WANAHITAJIKA- NAFASI ZA KAZI IRINGA INTERNATIONAL SCHOOL

🔮 AJIRA MPYA ZA UWALIMU SHULE YA HAVEN OF PEACE ACADEMY- DAR ES SALAAM
📍 Walimu wa Kufundisha Primary school & middle school & Cambridge
Wanahitajika Nafasi hizi:
● Librarians wa shule Wanahitajika
● Walimu wa masomo ya Primary School
● Walimu wa Masomo ya Business
● Walimu wa Mathematics
● Walimu wa masomo ya Language
● Walimu wa Music
● Walimu wa Geography
● Walimu wa History
● Walimu wa middle school Wanahitajika
● Walimu wa kufundisha Bible
● Mentors/ Wasimamizi Wanahitajika
● Primary School principal
● University Councelor anahitajika
● Director wa Shule nahitajika
● IT / Wataalamu wa Google apps Wanahitajika
● Wasimamizi wa Wanafunzi wa Special Needs
Deadline: March 30,2021
Maombi ya kazi yatumwe kwa njia ya Posta- Bonyeza LINK KUFAHAMU ZAIDI
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/haven-of-peace-academy-teaching-job-opportunities-march-2021/

NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA SAVE THE CHILDREN
● Waliosomea Kozi zinazohusiana na jamii
● Social Sciences
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/save-the-children-social-worker/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
● Waliosomea Kozi zinazohusiana na jamii
● Social Sciences
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/save-the-children-social-worker/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
Unistoretz
Save the Children, Social Worker | Nafasi za kazi Save the Children
Save the Children, Jobs at Save the Children, Save the Children jobs, Nafasi za kazi Save the Children, Ajira mpya Save the Children
SERIKALI YA UINGEREZA-YATANGAZA UDHAMINI WA MASOMO KWA WATANZANIA KUSOMA UINGEREZA 🇬🇧
COMMONWEALTH -FULLY FUNDED SCHOLARSHIP 2021✈️
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
👉 Utalipiwa kila kitu na serikali ya Uingereza kipindi chote cha masomo
📌 Kozi za Education
📌 Kozi za Science & Environment
📌 Kozi za Afya
📌 Kozi za Engineering
📌 Kozi za Politics & Leadership
📌 Kozi za Kilimo na kozi zingine fani zote
⏺️ Utalipwa kila mwezi zaidi ya Million.4 Tshs + Allowances
⏺️ Utalipiwa gharama zote za usafiri
⏺️ Utalipiwa gharama zote za masomo-Fully Funded
⏺️ Utalipiwa sehemu ya kuishi & bima ya afya
Deadline: April 09 ,2021
Bonyeza Link- Kufahamu zaidi Maelekezo jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/fully-funded-commonwealth-shared-scholarships-2021-for-students-from-developing-countries-for-study-in-the-united-kingdom/

NAFASI ZA KAZI MAKE A DIFFERENCE NOW
● Wanahitajika Waliosomea fani za biashara
Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-make-a-difference-now-finance-and-administration-assistant/

Jobs at Make A Difference Now, Finance and Administration Assistant - Unistoretz
Make A Difference Now, Finance and Administration Assistant Finance and Administration Assistant Summary: We are currently seeking an experienced, and thorough professional with experience in both finance and administration to join our organization.…
MADEREVA- NAFASI ZA KAZI
NAFASI ZA KAZI UMOJA WA MATAIFA-SHIRIKA LA WAKIMBIZI UNHCR
👉 Vigezo: Uwe na Leseni ya Udereva
Deadline: March 17,2021
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/driver-at-unhcr-march-2021-unhcr-jobs/

Driver at UNHCR March, 2021- UNHCR Jobs | Unistoretz
UNHCR, UNHCR Jobs, Jobs at UNHCR, Nafasi za kazi UNHCR, Ajira mpya za udereva Tanzania, Madereva nafasi za kazi, Ajira umoja wa mataifa
AJIRA TIPS ----->> BAADHI YA MBINU ZITAKAZO KUSAIDIA KUPATA AJIRA
Ku-Apply Ajira nako kunahitaji SKILLS / UJUZI wake...!!
✴️ Yawezekana una apply matangazo mengi ya kazi sana na una vigezo .....Na kwa bahati mbaya hujawahi kubahatika ata kuitwa kwenye interview...... !!
Yawezekana kukawa na sababu nyingi Personal / other reasons
Hapa ,tu angalie tatizo katika JINSI UNAVYO APPLY MATANGAZO YA KAZI / AJIRA.....
NINI CHA KUFANYA???
1⃣ Jaribu kushirikisha watu unaowafahamu waliofanikiwa kupata kazi , waweze kukusaidia katika kufanya Application ya ajira mbali mbali zinazotangazwa. Watumie CV yako na Cover Letters wakusaidie kufanya review na kuweka sawa baadhi ya vitu.
2⃣ Kama hauna watu unaowafahamu wenye uwezo uo,Jaribu kutumia makampuni yanayosaidia watu katika ku apply ajira . Kuandaa CV & Cover Letters na Application za ajira kwa Ujumla ..." Recruitment Agencies" kumbuka hapo ni lazima uwalipe, ndio watakusaidia katika kuandaa CV & Applications kwa ujumla.
3⃣ Usitishike na Tangazo la kazi, kuhusu Experience kubwa wanaohitaji. Wewe apply tuuh, ili mradi una hizo skills /knowledge wanayohitaji au unaona utafit kwenye iyo position
4⃣ Angalau kwa siku tuma maombi, kampuni sio chini ya tano kulingana na tangazo la kazi unalo ona lina vigezo vinayokuhusu . Apply many job adverts as you can.
5⃣ Hakikisha una CV iliyoandaliwa vizuri, Tengeneza LinkedIn Profile nzuri ( very professional) na Cover Letters zako ziwe zenye ubora.
Ni muhimu kuwa na LinkedIn Account- Profile ambayo ni professional. Kazi nyingi za siku hizi wanakutaka u-apply kwa kutumia LinkedIn account.
6⃣ Muombe Mungu na shirikisha watu ( especially walioajiriwa wakusaidie kwenye recommendations ya kampuni zao). Tafuta watu potential unaowafahamu . Connections ni muhimu
7⃣ Sio lazima , usubiri kampuni itangaze Kazi. Submit CV yako mapema kwa HRs wa kampuni mbali mbali, Wakumbushe kupitia Emails zao au Contacts zao, kuwa ikitokea nafasi uwe included. Watumie CV yako na LinkedIn profile Link yako mara kwa mara.
8⃣ Njia nyingine ya kupata nafasi ya ajiri, ni kuanza ku Volunteer katika kampuni husika unayo iwinda. Anza kujipendekeza kwanza
9⃣ Usipende ku apply ajira kwa kutumia Simu. Tumia Kumpyuta ku-Apply ajira , especially ajira zinazohitaji ku apply Online.
1⃣0⃣ Endelea kufuatilia matangazo yetu ya ajira kila siku tunayotuma humu, Fungua link kisha usome maelekezo ya tangazo husika kwa umakini
Link---->>>>https://www.unistoretz.com/magazine/
Asante. Na karibu tuzidi kusaidiana😊
Disclaimer: Makala hii ni mawazo ya mtu binafsi na sio kanuni za lazima.

VOLUNTEER OPPORTUNITIES
NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA SHIRIKA LA AFYA MDH
👉 Wanahitajika watu wa Fani mbali mbali
Deadline: March 08,2021
Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/volunteer-job-opportunities-at-mdh-facility-based-trackers/

NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA BIOTAN GROUP
● Personal Assistant anahitajika
● Waliosomea Fani hizi Wanahitajika
※Economics
※Marketing
※Communications
※Business Fields
Deadline: Mwisho leo
Tuma maombi kwa email au EMS
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-biotan-group-limited/

AJIRA----Elimu kuanzia ya 4m4 / Certificate
NAFASI ZA KAZI SERIKALINI- HALMASHAURI YA WILAYA
Wanahitajika:
● Watendaji wa Vijiji
● Wasaidizi wa Kumbukumbu
Bonyeza Link-Maombi yatumwe kwa njia ya Posta/EMS
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/government-job-opportunities-at-karatu-district-council-4-posts/

Government Job Opportunities At Karatu District Council- 4 Posts
Government jobs in Tanzania | 4 Government Jobs At Karatu District Council Karatu District Council is one of the seven Councils in Arusha Region. It
SERIKALI YATANGAZA NAFASI NYINGINE ZA KAZI TAASISI MBALI MBALI
👉 Vigezo: Elimu kuanzia ya 4m4
Wanahitajika nafasi hizi:
● Madereva wanahitajika
● Wataalamu wa Uvuvi
● Deck hands -Fisheries
● Wasambazaji wa bidhaa
● Watu wa masoko/Marketing
● Laboratory Technicians
● Accountants Assistants
● Mafundi wa Ujenzi
● Plumbing/Artisans
● Transport Officers
Deadline: March 18,2021

WIZARA YA ELIMU 🇹🇿---->>>YATANGAZA UDHAMINI WA MASOMO KWA WATANZANIA KUSOMA SAUDI ARABIA
FUNDED SCHOLARSHIP 2021 by The Kingdom of Saudi Arabia✈️
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
📌 Scholarship za kusomea Undergraduate studies
📌 Scholarship za kusomea Masters na Phd
Vigezo--->>
✅ Uwe Mtanzania
✅ Vigezo vingine-Fungua Link kifahamu zaidi
⏺️ Utalipwa meals na kupewa + Allowances + Bonuses
⏺️ Utalipiwa gharama za usafiri
⏺️ Utapewa sehemu ya kuishi
⏺️ Utalipiwa bima ya afya Pamoja na familia yako
Deadline: Vary with university ,2021
Bonyeza Link- Kufahamu zaidi Maelekezo jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/wizara-ya-elimu-scholarships-tenable-in-the-kingdom-of-saudi-arabia-for-the-academic-year-2021-2022/

Forwarded from OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
BAADHI YA NJIA UNAZOWEZA KUTUMIA KUPATA WAZO BORA LA BIASHARA
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA
1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako?
Ujuzi ulianao ndo hazina ya kwanza nay a kipekee ya kupata wazo na mara nyingi wajasirimali wengi waliofanikiwa waliacha kazi wanazo fanya na kwenda kuanzisha za aina hiyo na kuzimiliki wenyewe
2. BADILISHA HOBBY YAKO KUWA PESA
Hobby ni moja ya maeneo ambayo watu huja kutajilikia, kama wewe hobby yako ni kufuga mbwa kwa nini usianze hiyo biashara ya kufuga mbwa?
Kama Hobby yako ni Kuogelea, kwa nini usinzishe mabwawa ya kuogelea na wengine wakawa wankuja huko kuogelea?
Kam unapenda gardening unaweza anza biashara ya kufanya landscape gardening.
3. NUNUA BIASHARA AMBAYO TIYARI IPO
Ukishindwa kabisa kupa wazo mwanana unaweza nunua biashara ya mtu mwingine na kuindeleza, siku hizu kuna biashara kibao zinauzwa kwa sababu mbalimbali so unaweza nunua nu kuendelea nayo
4. KUNUNUA FRANCHISE
Hii ni moja ya njiza zinazo tumika kwa sasa na sehemu nyingi sana, Unaweza nunua Popular Brand na kuifanyia kazi, Ingawa mara nyingi kuna mashariti ya kuambatana ikiwemo kuhakikisha unatoa huduma sawa na Brandi yenyewe, nah ii ni popular sana katika MAHOTELI/MIGAHAWA, MASUPERMARKET NA MADUKA MENGINE.
Na usijalibu kutumia Brand ya Kampuni Fulani bila kuwapa Taarifa make inaweza kula kwako na ukajikuta unafilisiwa.
Na ilisha wahi kutokea kwa Kampuni ya Mabasi ya SABENA baada ya kutimia jina la Shirika la Ndege la Ubeligiji, Ila sijui walimalizana vipi, make jamaa bado wanalitumia
5. TUMIA PERSONALITY YAKO
Kuna watu unakuta either ni Mrembo sana, Handsome na kazalika, unaweza utumia huo urembo na uhendsaamu kufanya biashara, either za marketing na kadhalika.
6. NINI KINAKOSEKANA MTAANI?
Tazama ni kitu gani hakipo hapo mtaani and then geuza kuwa opportunity, inaweza isiwe ni mtaani ikawa ni kazini kwako, Kijijini kwenum au maeneo unayo enda kustarehe.
-Ni kitu gani huwa kinaleta usumbufu kwako na kukuchukulia muda mwingi na pesa nyingi?
- Ni huduma zipi hazipo kabisa mtaani kwako? Na ambazo ni za muhimu?
-Ni bidhaa zipi ambazo ni vigumu kuzipata mtaani kwenu?
-Ni kitu gani, wewe, Ndugu, Majirini huwa wanakilalamikia sana mtaani hapo?
7. UTALII KATIKA MAENEO YAKO
Hii nayo ni moja ya wazo, so unaweza angalia furusa za utalii kwenye maeneo uliyopo au hata kwingine na kuyafanyia kazi.
8. TUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUANZISHA BIASHARA
Angalia mfumo wa maisha wa sasa ulivyo, vitu vinavyo tumika kwa sasa na vinavyo tumiwa na watu wengi, so mfumo wa maisha wa watu kwa sasa unaweza kukuongoza kuja na wazo la Biashara.
9. ANGALIA MAKAMPUNI MAKUBWA NA TAASISI NYINGINE WANAHITAJI NINI?
Unaweza tumia uwepo wa makampuni Fulani au taasisi Fulani maeneo yako kutengeneza wazo la biashara, taasisi kama Shule, vyuo, Hospitali, Makampuni kama Viwanda Migodi na kadhalika, angalia ni kipi hawa watu wanaweza kuwa wanahitaji kwa wingi.
10. UNAWEZA KUANGALIA KUHUSU KUUZA BIDHAA ZA WENGINE
Unaweza ukawa unauza bidhaa za watu wengine, unachukua na kuuza
11. ANGALIA HABARI NA MAKALA MBALIMBALI
Kuna chaneli huwa zina makala mazuri sana ya kiuchumi na biashara, na kuna chaneli za kimataifa siku huzi kazi yao ni hiyo tu, ni kuonyesja ubunifu wa wajasirimali, so TV, radio na magazeti yanaweza toa mchango w akutosha kwa wewe kupata wazo la biashara
12. COPY BUSINESS IDEA AMBAYO IMEFANIKIWA KWINGINEKO
Hii ni moja ya njia zinazo tumika kwa sasa, unaweza copy idea kutoka hata India, China, na kwingineko na ukaja kuifanyia kazi huku kwa kufanya marekebisho madogo kulingana na mahitaji ya eneo husika
Itaendelea.....