OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
3.02K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA GFA CONSULTING

Wanahitajika waliosomea fani hizi

● Economics
● Finance
● Political Sciences
● Law
● Civil Engineering
● Internal Auditors
● MBA

Deadline: April 11,2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-gfa-consulting-group/

📌📌📌📌📌📌📌📌📌
NAFASI ZA KAZI MARUMA & ASSOCIATES TANZANIA

Wanahitajika waliosomea fani hizi

● Marketing
● Communication
● Economics
● Sales
● Agro-economics

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-maruma-associatestanzania/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA FHI 360

Wanahitajika waliosomea fani hizi

● Finance
● Accounting
● Business administration

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-vacancy-at-fhi-360-administrative-assistant/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI -SHIRIKA LA AFYA MDH

● Public Health
● Computer science
● Computer Engineering
● Information Technology

Deadline: April 19,2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-management-and-development-for-health-mdh-2/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
AJIRA TIPS ----->> BAADHI YA MBINU ZITAKAZO KUSAIDIA KUPATA AJIRA

Ku-Apply Ajira nako kunahitaji SKILLS / UJUZI wake...!!

✴️ Yawezekana una apply matangazo mengi ya kazi sana na una vigezo .....Na kwa bahati mbaya hujawahi kubahatika ata kuitwa kwenye interview...... !!

Yawezekana kukawa na sababu nyingi Personal / other reasons

Hapa ,tu angalie tatizo katika JINSI UNAVYO APPLY MATANGAZO YA KAZI / AJIRA.....

NINI CHA KUFANYA???

1⃣ Jaribu kushirikisha watu unaowafahamu waliofanikiwa kupata kazi , waweze kukusaidia katika kufanya Application ya ajira mbali mbali zinazotangazwa. Watumie CV yako na Cover Letters wakusaidie kufanya review na kuweka sawa baadhi ya vitu.

2⃣ Kama hauna watu unaowafahamu wenye uwezo uo,Jaribu kutumia makampuni yanayosaidia watu katika ku apply ajira . Kuandaa CV & Cover Letters na Application za ajira kwa Ujumla ..." Recruitment Agencies" kumbuka hapo ni lazima uwalipe, ndio watakusaidia katika kuandaa CV & Applications kwa ujumla.

3⃣ Usitishike na Tangazo la kazi, kuhusu Experience kubwa wanaohitaji. Wewe apply tuuh, ili mradi una hizo skills /knowledge wanayohitaji au unaona utafit kwenye iyo position

4⃣ Angalau kwa siku tuma maombi, kampuni sio chini ya tano kulingana na tangazo la kazi unalo ona lina vigezo vinayokuhusu . Apply many job adverts as you can.

5⃣ Hakikisha una CV iliyoandaliwa vizuri, Tengeneza LinkedIn Profile nzuri ( very professional) na Cover Letters zako ziwe zenye ubora.

Ni muhimu kuwa na LinkedIn Account- Profile ambayo ni professional. Kazi nyingi za siku hizi wanakutaka u-apply kwa kutumia LinkedIn account.

6⃣ Muombe Mungu na shirikisha watu ( especially walioajiriwa wakusaidie kwenye recommendations ya kampuni zao). Tafuta watu potential unaowafahamu . Connections ni muhimu

7⃣ Sio lazima , usubiri kampuni itangaze Kazi. Submit CV yako mapema kwa HRs wa kampuni mbali mbali, Wakumbushe kupitia Emails zao au Contacts zao, kuwa ikitokea nafasi uwe included. Watumie CV yako na LinkedIn profile Link yako mara kwa mara.

8⃣ Njia nyingine ya kupata nafasi ya ajiri, ni kuanza ku Volunteer katika kampuni husika unayo iwinda. Anza kujipendekeza kwanza

9⃣ Usipende ku apply ajira kwa kutumia Simu. Tumia Kumpyuta ku-Apply ajira , especially ajira zinazohitaji ku apply Online.

1⃣0⃣ Endelea kufuatilia matangazo yetu ya ajira kila siku tunayotuma humu, Fungua link kisha usome maelekezo ya tangazo husika kwa umakini

Link---->>>>https://www.unistoretz.com/magazine/

Asante. Na karibu tuzidi kusaidiana😊

Disclaimer: Makala hii ni mawazo ya mtu binafsi na sio kanuni za lazima.
NAFASI ZA KAZI- SHIRIKA LA PALLADIUM

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunity-at-palladium-program-manager-for-health/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA JSI RESEARCH

Deadline: April 12,2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-jsi-research-and-training-institute-inc-human-centred-design-consultant/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
TANROADS WAMETANGAZA NAFASI ZA KAZI

👉 Vigezo: Elimu kuanzia ya 4m4/Certificate

Wanahitajika nafasi hizi

● Laboratory Technicians
● Wakaguzi wa Ujenzi wa barabara
● Engineers

Deadline: April 19,2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-tanroads-3/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
OPPORTUNITY TO WIN 100K Tshs Cash prize
🛑 KAMA HAUNA CV---- BONYEZA HII LINK HAPA , Download CV samples

👉 CV samples - Download Template zenye ubora wa Kisasa- MICROSOFT WORD FILES-Utaweza ku edit mwenyewe kwa kujaza Taatifa zako

Bonyeza Link Hapa-Ku download CV SAMPLES Templates
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/curriculum-vitae-cv-samples-and-writing-tips-create-your-cv-online-and-download/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

🛑 JINSI YA KU-APPLY AJIRA KWA EMAIL

📍 AJIRA nyingi zinakutaka utume maombi yako ya kazi kwa njia ya Email kwa kuambatanisha CV yako

👉 Unafahamu jinsi ya ku-Apply Ajira kwa Njia ya Email??.. Kwa kuambatanisha CV yako na Vyeti...???

Bonyeza hapa ku-download na kufahamu jinsi ya kutuma maombi ya kazi kwa kutumia Email
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/cover-letter-for-an-email-submission/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

🛑 MIFANO YA BARUA ZA KUOMBEA KAZI - KWA NJIA YA EMAIL au POSTA

👉 Kama umeambiwa utume na Cover Letter- kwa njia ya Email au Posta

📌 Bonyeza Link hapa Ku Download Mifano ya Barua za kuombea kazi fani zote/ Cover Letters
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/best-free-application-letter-templates-samples/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

✅ Ajira mpya zilizotangazwa ,leo Nafasi za ajira zaidi ya 1000++ Makampuni mbali mbali

Bonyeza Hapa ku-Apply Ajira
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
Wanahitajika watu 61 - TTCL

SHIRIKA LA MTANDAO WA SIMU TTCL LAMWAGA NAFASI ZA KAZI

Wanahitajika nafasi hizi

● Technicians

● Waliosomea Commerce

● Business administration

● Entrepreneurship

● Marketing

● Sales

● Computer Engineering

● Telecommunications

Deadline: April 23,2021

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/61-job-opportunities-at-ttcl-april-2021/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
AIR TANZANIA-SHIRIKA LA NDEGE ATCL LIMETANGAZA NAFASI ZA KAZI

Deadline: April 23,2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-atcl-executive-assistant/
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA AFYA- TINDWA MEDICAL

Wanahitajika Nafasi hizi

● Madereva wanahitajika

● Madaktari wa dharura Wanahitajika

● Nurses wanahitajika

● Madaktari , MD

Deadline: May 15th, 2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-tindwa-medical-health-services/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI AZAM PAY

Wanahitajika waliosomea fani hizi

● Logistics

● Warehouse

● Accounting

● Supply Chain

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/4-job-opportunities-at-azampay/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI VODACOM

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-vodacom-senior-specialist-margin-accounting/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
SHIRIKA LA BIMA-NHIF LIMITANGAZA NAFASI ZA KAZI

Deadline: April 23

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunity-at-nhif-assistant-quality-assurance-officer-iii/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
● Wafanya Usafi wa maofisini wanahitajika

● Walimu wanahitajika

● Waliosomea fani hizi pia wanahitajika

👉 Social Sciences

👉 Education

👉 Community Development

👉 Early childhood education

Deadline: April 18

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-madrasa-early-childhood-programme/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI BENKI YA NMB

Wanahitajika waliosomea fani hizi

● Finance

● Business administration

● Commerce

● Accounting

● Internal Auditors

● Business related Fields

Deadline: April 24

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-nmb-april-2021/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI WAKALA WA BARABARA TANROADS

Wanahitajika Nafasi hizi

● Madereva wanahitajika

● Wasimamizi wa mizani

● Shift in charges- Engineers

Deadline : April 22

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-tanroads-5-posts/