JINSI YA KUTENGENEZA HELA KUPITIA YOUTUBE
sehemu ya .2
Embu Fikiria kwanza ni kitu gani huwa kinakufanya u-SUBSCRIBE???? Yan ukishapata jibu bhasi ndio kitu icho icho kitawafanya Wengine wa-SUBSCRIBE CHANNEL YAKO!!!
JINSI YA KUPATA SUBSCRIBERES NA VIEWS!!!
1️⃣ TAFUTA NICHE/CONTENT AMBAYO UNAHISI ITAKUWA YA UBUNIFU NA WATU WATAIPENDA!!
—- Yan hapo... Channel yako ya Youtube lazima ieleweke inahusu nini...!! Usiweke videos za mambo mengi mengi ambayo hayaeleweki...... YANI JITAHIDI .....UKIMUILIZA MTU CHANNEL YAKO INAHUSU NINI...aseme DIRECT kuwa inahusu kitu flan!!!
Mfano: labda Channel inayohusu MAPISHI... unakuwa unakuwa unaweka videos kama “ JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU”
“JINSI YA KUTENGENEZA KEKI”
yan ukimtumia ata mtu Link—ATASHAWISHIKIA KU-VIEW aone iyo KEKI inatengenezwaje
2️⃣ MWENYE NACHO
HUONGEZEWA!!
—-hahah unajua ni RAhisi mtu ku-SUBSCRIBE channel yenye subscribers 100 kuliko kusubscribe channel yenye subscribers 10 .....😀!!???
—- Sasa cha kufanya , Ukianzisha channel Jitahidi kwanza KUWASHAWISHI WATU WAKO WAKARIBU/ MARAFIKI KAMA 100-300 hivi wa-Subscribe channel yako ndio uanze kwenda Public!!!....
3️⃣ TENGENEZA SUBSCRIBE LINK !!!
— Hii Trick watu wengi Hawaijui!! Ila ni nzuri sana...
🔘 Fuata Hatua hizi
1. View Channel yako baada ya Kuitengeneza ( View as Homepage ya Channel yako——HOME )
2. utaona Link ya channel yako kwa juu ya Browser pale ( URL of your Channel)
3. Copy iyo url ya channel yako afu ONGEZEA KWA MBELE iki kitu
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
?sub_confirmation=1
Yan mfano hii ndio Link ya Channel ya ko :
www.youtube.com/c/mapishiOnline
Sasa Wewe Ongeze iwe hivi
👇👇👇👇👇👇
www.youtube.com/c/mapishiOnline?sub_confirmation=1
Ukisha tengeneza hiyo Link—-HIYO LINK NDIO UNAWEZA KUSHEA KWA WATU, KWENYE MAGROUP YA WASAPU, FACEBOOK, NA SEHEMU ZINGINE!! yani mtu anakuwa akiclick iyo link...Ni ana-SUBSCRIBE DIRECT😀😀
Pia unaweza Tumia link iyo Ku-Promote!!
Sasa UKIJITAHIDI kutafuta SUBSCRIBERS 20 tuuh kwa siku!! Means ndan ya siku 60 utakuwa ushafikisha SUBSCRIBERS 1000+++
Inaendelea.......

NJIA ZINGINE ZA ZIADA KU-BOOST SUBSCRIBERS
4️⃣ WEKA SUBSCIBE BUTTON KWENYE VIDEOS ZAKO!!
Maelekezo:
🔘 Google Picha ——>>Subscribe Button PNG , then download iyo picha
🔘 Ingia kwenye MY Channel——>>Nenda VIDEO MANAGER——-Then Nenda kwenye CHANNEL——>>>> Then nenda kwenye BRANDING——-Then Add iyo picha ya SUBSCRIBE BUTTON ( chagua Entire Video...yan kaonekane Mwanzo mwisho)
5️⃣ WAKUMBUSHE WATU KUSUBSCRIBE CHANNEL YAKO!!
- Yan hakikisha mwanzo wa video unaweka katangazo kidogo cha kuwaambia watu Wa-Subscribe , Katikati ya video na mwisho pia!!
6️⃣ FANYA VIDEOS ZAKO ZIWE ZINA MUENDELEZO!!
- Yan mfano, leo umetengeneza Video ya JINSI YA KUTENGENEZA KEKI YA CHOCOLATE ,,,,, bhasi unakuwa unawambia watu SUBSCRIBE CHANNEL YETU...Ili uweze kutazama Video ijayo ya JINSI YA KUTENGENEZA KITU FLAN Kitu flan
7️⃣ REPLY na ku-LIKE COMMENTS za WATAZAMAJI WAKO!!
— Unapo-LIKE au kureply watu wanakuwa Notified na inasaidia kuongeza SUBSCRIBERS!!
8️⃣ LIVESTREAM!! LIVESTREAM zinasaidia sana ku-Boost Subscribers...lakin hapa ukiwa ushapata subscribers wengi kidogo
9️⃣ SHEA VIDEOS ZAKO kwenye MAGROUP ya TWITTER ,FACEBOOK na WHATSAPP!!
— Tena ni muhimu sana Facebook na Twitter!! hii itakusaidia VIDEOS ZAKO KUWA RANKED na GOOGLE ..mtu akisearch Kitu GOOGLE!! VIDEO YAKO INATOKEA PALE S.E.O RANKING!!
🔟 Tumia KEYWORDS na HASHTAGS ambazo watu wanazi-SEARCH SANA
UKO YOUTUBE na Google !!
- hapa unaweza Google. “how to use Keywords and hashtags on Youtube channel”. UTAELEWA ZAIDI.!!!
Itaendeleaaa

Huwa watu wanaulizaga sana Nikipata Views kiasi flan nitapata Shiling ngap???
Ukweli ni kwamba ... HAKUNA KIWANGO CONSTANT / CONSTANT EARNING!!
Yan ishu ya pesa inakuwa affected na vitu vingi sana....
1. Aina ya watu wanaoviews— Mtu aliyoko Marekani akiview video yako ni tofauti na mbongo!!
—-Kuna nchi ambazo wakiviews video yako Unapata $$$ nyingi (Unaweza google kuhusu eCPM na mambo yanayo affect!!
——Ishu zingine zinaathiri earning... Ni muda ambao mtu anatazama video yako....!! Yan anachukua muda gan...
——Ishu nyingine ni Aina ya content yako!! Video yako inahusu nini... Youtube wanakupa Matangazo kulingana na Aina ya Content yako!!!
Kwahiyo hadi na hapo unaona ni ngumu kukadiria mtu anaingiza shingap kwa views!!
Ila kibongo bongo...Tuchukulie mfano video labda ya dakika 3 .... imepata views MILLION.1 ....na ni wabongo wameviews
Makadirio ni kama $800 - $1000
SASA WEWE HAUHITAJI VIEWS MILLION.1 kwenye video.1
Ila unaweza Tengeneza kwa mwezi .... VIDEO 10 tuuh zitakazokupa TOTAL ya VIEWS MILLION.1...
Na tuashumu kila video ukafanikiwa kupata views 100K+++
Means utakuwa umefikisha hao views 1M Wa kibongo na ukapata Zaidi ya Million.2 kwa mwez.... kwa kujiajiri na Youtube Tuuh!!!!
Asanteni!!! ....!!!
Kwa USHAURI/MAREKEBISHO n.k
Wasiliana nasi..
unistoretz9@gmail.com

NAFASI ZA KAZI -KAMPUNI YA VIPAJI INC
📣 Wanahitajika Wahitimu-KOZI ZA BIASHARA
• Waliosomea Diploma
• Waliosomea Certificate
• Waliosomea Degree
Deadline: July 26,2019
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/5-jobs-vacancies-at-vipaji-inc-corporate-limited/
_______________________

Unistoretz
5 Jobs Vacancies at Vipaji Inc Corporate Limited | Nafasi za kazi Vipaji Inc
Vipaji Inc Corporate Limited, Nafasi za kazi Tanzania, Jobs in Tanzania, Vipaji Inc Corporate Limited Jobs Opportunities, Tanzania Jobs
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA BECCO LIMITED TANZANIA
Ajira...
Elimu ya : Cheti cha Form Four
Elimu ya : Certificate
Elimu ya : Diploma
Elimu ya : Degree
wanahitajika
● Madereva
● mafundi Umemr
● Transport Officers
● Civil Engineers
● Archrectures
● Foremans
● Public Relations Officers
● Procurement Officers
● Mechanical Engineers
● Quantity Surveyors
● Human Resource Managers
● Security Officers
● Finance Officers
● Mechanic Technicians
Deadline: July 20,2019
Bonyeza Link-KUFAHAMU ZAIDI JINSI YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-becco-limited/

Jobs Opportunities at Becco Limited | Nafasi za kazi Becco Limited
Becco Limited, Nafasi za kazi Becco Limited, Ajira mpya Becco Limited, Nafasi za kazi Tanzania, Ajira mpya Tanzania, Jobs in Tanzania
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA NDEGE- QATAR AIRWAYS
¤ KILIMANJARO
¤ ZANZIBAR
♧ waliosomea Kozi za Biashara
● Wanahitajika Sales Manager
Deadline: July 18,2019
Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-qatar-airways-sales-manager-zanzibar-kilimanjaro/

Jobs at Qatar Airways in Tanzania | Nafasi za kazi Qatar Airways
Qatar Airways, Qatar Airways jobs, Jobs at Qatar Airways, Nafasi za kazi Qatar Airways, Ajira mpya Qatar Airways, Nafasi za kazi Kilimanjaro
NAFASI YA KAZI SERIKALINI-WIZARA YA AFYA
● Elimu ya Degree,Kozi za afya
Bonyeza Link-Kufahamu zaidi
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/government-job-opportunity-at-tanzania-ministry-of-health-tb-hiv-coordinator/

Ajira mpya wizara ya afya 2019 | TB/HIV Coordinator Jobs
Nafasi za kazi Wizara ya Afya, Ajira mpya Wizara ya Afya, Nafasi za kazi Serikalini, Nafasi za kazi Wizara ya Afya 2019, Tanzania Ministry of Health jobs
WAZO LA BIASHARA
JUICE YA TENDE🥤🥤🥤
Hivi ushawahi Jiuliza Wapishi ni wengi Duniani, kuna Restaurants nyingi sana, kuna hotels nying sana Lakin UNAKUTA MAARUFU ZAIDI na watu wengi wanazozifahamu ni KFC, MacDonald, PizzaHut????
Yan Kitu wanachotengeneza ni Kile kile...lakin mtu ana Feel Proud akienda KFC😄....!! SIO UCHAWI...ILA NI BRANDING....
Unaweza ukauza ata mawe....na ukawa maarufu na ukatuboa..endapo utafanikiwa kwenye ishu ya BRANDING!!😃
Nisizungumzie sana maswala ya Branding.....embu Tuje kwenye mada yetu ya JUICE YA TENDE
Juisi ya Tende ni miongoni mwa juisi zilizojizolea umaarufu mkubwa hasa katika kurekebisha tatizo la nguvu za kiume.( Ina aminika sana hivo na jamii yetu hapa Bongo....kwasisi wajasiriamali TUNACHUKULIA KAMA OPPORTUNITY PA KOTOKEA SASA HAPO😄)
FAHAMU JINSI YANKUITENGENEZA
MAHITAJI :
- Tende kilo moja
- Maziwa ya unga au ya ng’ombe lita moja
- Sukari kiasi upendacho.
KUMBUKA : Tende zina asili ya sukari hivyo hakikisha unaweka kiasi
NAMNA YA KUTENGENEZA :
- Chukua tende zako kisha zitoe mbegu zake.
- Hakikisha unatoa mbegu tu na kuziacha tende kama zilivyo bila kutoa kitu kingine.
- Anza kuzisaga peke yake kwenye brenda hadi zitakapolainika sawasawa.
- Mimina maziwa yako kidogokidogo kwenye brenda ili kuzisaga vema jambo litakalosaidia juisi yako kulainika vema.
- Baada ya kutia maziwa yote na kuisaga sawasawa, tia sukari kiasi upendacho huku ukiendelea kuisaga ili sukari yako iweze kuchanganyika vizuri na juisi yako.
- Juisi yako itakuwa tayari kwa kunywa sambamba na kitafunwa chochote ukipendacho kama vile bagia, sambusa, korosho au karanga.
Inaendelea.....

UNAFANYAJE BIASHARA HII YA JUICE YA TENDE??? kwanini JUICE YA TENDE??🥤🥤
Ndio !! Juice ya Tende...Kwasababu sio watu wengi wanafanya hii biashara......
Yan ukizungumzia Biashara ya Juice hapa Bongo....Wengi wao wanauza hizi Juice common za matunda mengine.....kwahiyo wewe unaweza kuja Kivyako na Juice ya tende tuuh!!
KUHUSU MASWALA YA MTAJI na BUDGET !! Kiukweli hapo UTAJIPIMIA MWENYEWE..mimi sio.mtaalamu sana wa maswala ya fedha😄
Sasa ishu ipo kwenye BRANDING NA UNAIFANYEJE!!
Yan, ukitaka utoboe kwenye hizi biashara za juice....Lazima UFANYE BRANDING na UWE OFFICIAL!!
Branding.....nazungumzia
● Chagua Jina Zuri, Logo, Fungua social Media Accounts za biashara yako, Fungua website, na pia Fungua MOBILE APP ya watu ambayo wanaweza ku-Order Online
● Sajili Biashara Yako
● Sehemu Quality -Ofisi, ambayo utakuwa unatengenezea & Kuuza hiyo Juice ...
- Hapa ni kuchagua maeneo ambayo unajua utapata wateja (Kulingana na Wateja uliowalenga)
---->>> Watu wengi wanakimbiliaga maeneo ya Sheli za magari.....!! Ni vizur kama umetarget wateja wako ..LAKINI USIKARIRI!!!....
---->>> Biashara ya Juice unaweza fungua popote na UKAWA UNAFANYA DELIVERY KWENYE MAOFISI NA MAKAZI.MBALI MBALI!!!🚚🥤
● Usafi wa mazingira na bidhaa zako & Hakikisha ata unakuwa na Nutrianalist / Food Officer by Professional.....
- Hii itakusaidia sana kujemga uaminifu na wateja wako..kuwa unajali afya
● Packaging -- Yan Packaging iwe Quality...🥤🥤....Hakikisha Umeweka JINA na LOGO kwenye Package zako.....KUWA MBUNIFU SANA MAENEO hayo !!
Hizo ni baadhi ya Basic Tips tuuh...Mambo mengine Utajiongeza!!
KUHUSU WATEJA......
● Tatizo watu wengi tumekuwa tukiiga na kukariri.....Yan kwakuwa umeona watu wanauza JUICE maeneo ya sheli au Car wash....nawewe unataka KUFUNGUA MAENEO HAYO HAYO...!!
----->>>>> Embu Jaribu kuandaa Proposal & Presentation nzuri ya Biashara yako tafuta vijana wawili wanaojua Marketing vizuri....... PITENI MAOFISI MBALI MBALI hapo Mjini...Jaribu kutafuta soko uko!!!..........Pita kwenye mabenki, ofisi za makampuni mbali mbali, Pita ata kwenye maduka hapo town, Hadi Mahospitalini, Mashuleni, Ofisi za umma n.k......uwaelezee biashara yako!! Wape Offer siku mbili tatu......!! LAZIMA UTAPATA WATEJA TUUH!! TENA WATEJA WALE WA KUDUMU WA KILA SIKU KUWALETEA JUICE!!
------>>> uo ni mfano tuh, ila point ni ku- Tambua AINA YA WATEJA unaowahitaji na uwatafute!!!
Asanteni!!!
KWA MASWALI / MAREKEBISHO/ USHAURI
Wasiliana nasi
Email: unistoretz9@gmail.com

NAFASI ZA KAZI BENKI YA NMB
● Wanahitajika waliosomea Kozi za biashara
¤ Finance
¤ Account
¤ Economics
¤ Banking
¤ Business Administration
¤ Business Fields
Deadline: july 11,2019
Bonyeza link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-vacancies-at-nmb-bank-july-2019/

Jobs Vacancies at NMB Bank, July 2019 | Nafasi za kazi NMB Bank
NMB, NMB jobs, NMB jobs in Tanzania, Jobs in Tanzania, Nafasi za kazi Tanzania, NMB jobs Vacancies, NMB Bank jobs , Ajira mpya NMB Bank
HABARI NJEMA KUTOKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI-NAFASI ZA SCHOLARSHIPS
JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAMWAGA NAFASI ZA SCHOLARSHIPS KWA WATANZANIA-WANAFUNZI WOTE WANAOTAKA KUSOMA MASTERS 2020(SCHOLARSHIPS🇹🇿)
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
📣 🚨 UDHAMINI WA MASOMO-JUMUIYA YA AFRIKA MASHIRIKI( EAST AFRICAN COMMUNITY-EAC)
○ Baada ya Kuhitimu Utapata Fursa ya kupewa Internships/Mentorship&Training
✳ Jumuiya Ya Afrika Mashariki-YATANGAZA MASTERS SCHOLARSHIPS kusomea kozi hizi
● Kozi za Biashara-Business
● Engineering Fields
● Technology Fields
● Kozi zote za SCIENCE
● Mathematics Fields
Vigezo:
✅ Uwe Mtanzania
✅ Umri wako usizidi zaidi ya miaka 35 ( Below 35yrs of age)
Wanafunzi Wanaweza ku-Apply Chuo zaidi ya kimoja kati ya hivi
■ University of Nairobi
■ Kenyatta University
■ Makerere University
■ University of Dodoma
■ Dedan Kimath University
■ Instituit- Rwanda University
■ Sokoine University
■ MuCCOBS-Tanzania
■ Kubabii University
Deadline: August 01,2019
Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/call-for-applications-from-students-in-the-east-african-community-eac-to-pursue-kfw-funded-masters-scholarships/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

Call for Applications from Students in the East African Community (EAC) to pursue KFW funded Masters Scholarships
East African Community (EAC), East African Community (EAC), Scholarships, Scholarships for Tanzanians, Scholarships in Tanzania, Tanzania Scholarships,
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO)
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunity-at-international-labour-organizationilo-national-project-officer-monitoring-and-evaluation-noa/

Job Opportunity at International Labour Organization(ILO)
ILO, ILO Jobs, International Labour Organization , International Labour Organization jobs, ILO jobs in Tanzania, ILO Tanzania jobs, ILO jobs opportunities
NAFASI 146 ZA KAZI SHIRIKA LA AFYA-ELIZABETH GLASER PEDIATRIC AIDS FOUNDATION
● •Elimu kuanzia ya : Form Four+++
● • Elimu ya : Diploma, Nafasi za kazi
✳ NAFASI 146–Wanahitajika Vijana waliosomea kozi hizi
• Nursing
• Clinical Medicine
• Clinical Officers
• Community Health
• Business Administration
• Marketing
• Finance
• Public Administration
• Socialogy
Deadline: July 19,2019
Bonyeza Link-KUFAHAMU JINSI YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/146-jobs-at-ariel-glaser-pediatric-aids-healthcare-initiative-agpahi/
___________________________

146 Jobs at Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI)
Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI), Jobs at Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI), Nafasi za kazi
WANAHITAJIKA VIJANA 33 WA KUKUSANYA DATA
✳ Elimu ya Form Four
• Vijana wa kukusanya Data- Mikoa mbali mbali
Bonyeza Link- Kufahamu Jinsi ya Ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/33-jobs-opportunities-at-ifakara-health-institute-ihi/
__________________________

33 Jobs Opportunities At Ifakara Health Institute (IHI)
Ifakara Health Institute (IHI), Ifakara Health Institute (IHI) jobs, Nafasi za kazi Ifakara Health Institute (IHI), Ajira mpya Ifakara Health Institute
NAFASI ZA KAZI VODACOM TANZANIA
wanahitajika Vijana waliosomea Kozi hizi:
• Business Administration
• Sales
• waliosomea sheria/Law
• Finance
• Marketing
• Other Business Fields
Deadline: July 15,2019
Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-vacancies-at-vodacom-tanzania-limited/
________________________

Jobs Vacancies at Vodacom Tanzania Limited | Nafasi za kazi Vodacom
Vodacom Tanzania Limited, Vodacom Jobs, Nafasi za kazi Vodacom Tanzania, Ajira mpya Vodacom Tanzania, Vodacom Tanzania Vacancies
WAZO LA BIASHARA
NJIA 5 ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA LITAKALOKUFANIKISHA
HABARI za wakati huu, ningependa kuanza na msemo kutoka wa Swami Vibekananda aliyenena; “Take up one idea. Make that one idea your life. Think of it, dream of it, live on that idea. Let the brain, muscles, nerves, every part of your body, be full of that idea and just leave every other idea alone. This is the way to success. That is way great spiritual giants are produced.”
Akimaanisha kama utaamua kuchukua wazo moja na kuliwaza, kulitafakari na kuwa ndilo kitu cha muhimu kwako, basi mwisho wa siku utafanikiwa. Kwa ufupi ni kuwa kila mtu mkubwa duniani alianza na wazo fulani lililomfanikisha.
Iko hivi; yeyote ambaye huwa ana mawazo ya tofauti na yaliyotangulia kuliko wengine huwa anakuwa wa tofauti na atajikuta anapiga hatua kuliko wengine katika eneo lake. Aidha, uwe umeajiriwa, umejiajiri, mfanyabiashara, mwanasiasa au mwanafunzi; uwezo wako wa kuja na mawazo ya tofauti ndiyo kiini na chanzo cha mafanikio yako
1: TAFUTA UHITAJI
Kila mafanikio ni matokeo ya
uhitaji wa watu. Kila unacholipia pesa, kwako ni UHITAJI na kwa unayempa pesa ni kuwa AMETATUA TATIZO lako.
Kwa maneno mengine. Kadiri unavyoweza kutatua matatizo MAKUBWA na MENGI ndivyo unavyopata vyanzo vya pesa zaidi. Kwa ufupi umaskini ni matokeo ya kukimbia kutatua matatizo na utajiri ni matokeo ya kukimbilia kutatua matatizo.
Leo ningependa tuangalie njia kadhaa za namna ya kupata mawazo yanayoweza kuwa chanzo cha kubadilisha maisha yako unapoamua kuyafanyia kazi.
Na hapa ningependa kuwakumbusha maneno ya William Cameron aliyesema; “Money never starts an idea; it is the idea that starts the money.”
Fedha haileti mawazo ila mawazo ndiyo huleta pesa, ndiyo maana kuna watu walishawahi kupata pesa nyingi ila kwa kukosa mawazo wamerudi katika kufeli na umaskini.
Hebu chukua dakika moja, jiulize; Katika mazingira niliyopo, je, kuna uhitaji gani ninaoweza kuutatua? Chukua note book yako na andika kabla hatujaendelea.
Hivyo basi angalia mazingira yanayokuzunguka, je, kuna uhitaji gani? Kama maji yanatoka mara moja kwa wiki mtaani kwenu, ukifanikiwa kununua simtank kadhaa na kuuza maji siku ambazo hayatoki hapo unakuwa umetatua tatizo na umepata pesa. Kama umegundua watu karibu na maeneo ya kwenu wanatumia gesi na hakuna duka la karibu, tafuta namna ya kuwa wakala wa kuuza, kadhalika na mahitaji mengine eneo ulilopo.
Naamini umepata mawazo kadhaa. Tutaendelea kujifunza kisha utabaki na wazo moja.
2: BORESHA WAZO LA MWINGINE
Kuna wakati mwingine hutahitaji kuanza na wazo jipya kabisa, badala yake utahitaji kuchukua wazo la mwingine kuliboresha. Kwa mfano badala ya mtu kuuza matunda na kuyamenya mtu anaponunua mwingine akaboresha akaamua kuyamenya kabisa kisha anayapaki vizuri tayari kwa kuyauza.
Chunguza kile ambacho kinafanywa na wengine kisha jiulize, hivi nawezaje kuliboresha wazo hili?
3: HAMISHA WAZO LA WENGINE NA LIPE UHALISIA WA MAZINGIRA YAKO
Kuna mawazo mengi yaliyofanikiwa leo ni matokeo ya mawazo yaliyohamishwa kutoka mahali pengine na yakapewa uhalisia wa mahali husika. X-Factor ya Uingereza imezaa Bongo Star Search, DECA na SONY Records label ndiyo leo tunaona WCB.
Jaribu kuangalia, kuna wazo gani ambalo unaweza kulichukua na ukaliwekea mazingira ya kwako na ukalifanyia kazi. Unaweza kulitoa nje ya Tanzania na ukalileta Tanzania au ukalitoa Dar na ukalipeleka katika mkoa unaoishi.
4: RAHISISHA MCHAKATO WA KITU AMA BIDHAA FULANI
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kutumia teknolojia kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kwa nini? Kwa sababu ya kurahisisha mchakato kwa wateja.Tunaishi katika ulimwengu ambao watu hupenda kutumia muda mfupi kupata huduma au bidhaa, hivyo unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuwa hata kama unatoa bidhaa au huduma ileile kama wengine, jaribu kurahisisha.
Ndiyo maana visimbuzi wanaweka huduma zao kwenye MPESA, Tigopesa, Airtel n.k, wanachojaribu kufanya ni kurahisisha.