NAFASI 146 ZA KAZI SHIRIKA LA AFYA-ELIZABETH GLASER PEDIATRIC AIDS FOUNDATION
● •Elimu kuanzia ya : Form Four+++
● • Elimu ya : Diploma, Nafasi za kazi
✳ NAFASI 146–Wanahitajika Vijana waliosomea kozi hizi
• Nursing
• Clinical Medicine
• Clinical Officers
• Community Health
• Business Administration
• Marketing
• Finance
• Public Administration
• Socialogy
Deadline: July 19,2019
Bonyeza Link-KUFAHAMU JINSI YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/146-jobs-at-ariel-glaser-pediatric-aids-healthcare-initiative-agpahi/
___________________________

Unistoretz
146 Jobs at Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI)
Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI), Jobs at Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI), Nafasi za kazi
WANAHITAJIKA VIJANA 33 WA KUKUSANYA DATA
✳ Elimu ya Form Four
• Vijana wa kukusanya Data- Mikoa mbali mbali
Bonyeza Link- Kufahamu Jinsi ya Ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/33-jobs-opportunities-at-ifakara-health-institute-ihi/
__________________________

33 Jobs Opportunities At Ifakara Health Institute (IHI)
Ifakara Health Institute (IHI), Ifakara Health Institute (IHI) jobs, Nafasi za kazi Ifakara Health Institute (IHI), Ajira mpya Ifakara Health Institute
NAFASI ZA KAZI VODACOM TANZANIA
wanahitajika Vijana waliosomea Kozi hizi:
• Business Administration
• Sales
• waliosomea sheria/Law
• Finance
• Marketing
• Other Business Fields
Deadline: July 15,2019
Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-vacancies-at-vodacom-tanzania-limited/
________________________

Jobs Vacancies at Vodacom Tanzania Limited | Nafasi za kazi Vodacom
Vodacom Tanzania Limited, Vodacom Jobs, Nafasi za kazi Vodacom Tanzania, Ajira mpya Vodacom Tanzania, Vodacom Tanzania Vacancies
WAZO LA BIASHARA
NJIA 5 ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA LITAKALOKUFANIKISHA
HABARI za wakati huu, ningependa kuanza na msemo kutoka wa Swami Vibekananda aliyenena; “Take up one idea. Make that one idea your life. Think of it, dream of it, live on that idea. Let the brain, muscles, nerves, every part of your body, be full of that idea and just leave every other idea alone. This is the way to success. That is way great spiritual giants are produced.”
Akimaanisha kama utaamua kuchukua wazo moja na kuliwaza, kulitafakari na kuwa ndilo kitu cha muhimu kwako, basi mwisho wa siku utafanikiwa. Kwa ufupi ni kuwa kila mtu mkubwa duniani alianza na wazo fulani lililomfanikisha.
Iko hivi; yeyote ambaye huwa ana mawazo ya tofauti na yaliyotangulia kuliko wengine huwa anakuwa wa tofauti na atajikuta anapiga hatua kuliko wengine katika eneo lake. Aidha, uwe umeajiriwa, umejiajiri, mfanyabiashara, mwanasiasa au mwanafunzi; uwezo wako wa kuja na mawazo ya tofauti ndiyo kiini na chanzo cha mafanikio yako
1: TAFUTA UHITAJI
Kila mafanikio ni matokeo ya
uhitaji wa watu. Kila unacholipia pesa, kwako ni UHITAJI na kwa unayempa pesa ni kuwa AMETATUA TATIZO lako.
Kwa maneno mengine. Kadiri unavyoweza kutatua matatizo MAKUBWA na MENGI ndivyo unavyopata vyanzo vya pesa zaidi. Kwa ufupi umaskini ni matokeo ya kukimbia kutatua matatizo na utajiri ni matokeo ya kukimbilia kutatua matatizo.
Leo ningependa tuangalie njia kadhaa za namna ya kupata mawazo yanayoweza kuwa chanzo cha kubadilisha maisha yako unapoamua kuyafanyia kazi.
Na hapa ningependa kuwakumbusha maneno ya William Cameron aliyesema; “Money never starts an idea; it is the idea that starts the money.”
Fedha haileti mawazo ila mawazo ndiyo huleta pesa, ndiyo maana kuna watu walishawahi kupata pesa nyingi ila kwa kukosa mawazo wamerudi katika kufeli na umaskini.
Hebu chukua dakika moja, jiulize; Katika mazingira niliyopo, je, kuna uhitaji gani ninaoweza kuutatua? Chukua note book yako na andika kabla hatujaendelea.
Hivyo basi angalia mazingira yanayokuzunguka, je, kuna uhitaji gani? Kama maji yanatoka mara moja kwa wiki mtaani kwenu, ukifanikiwa kununua simtank kadhaa na kuuza maji siku ambazo hayatoki hapo unakuwa umetatua tatizo na umepata pesa. Kama umegundua watu karibu na maeneo ya kwenu wanatumia gesi na hakuna duka la karibu, tafuta namna ya kuwa wakala wa kuuza, kadhalika na mahitaji mengine eneo ulilopo.
Naamini umepata mawazo kadhaa. Tutaendelea kujifunza kisha utabaki na wazo moja.
2: BORESHA WAZO LA MWINGINE
Kuna wakati mwingine hutahitaji kuanza na wazo jipya kabisa, badala yake utahitaji kuchukua wazo la mwingine kuliboresha. Kwa mfano badala ya mtu kuuza matunda na kuyamenya mtu anaponunua mwingine akaboresha akaamua kuyamenya kabisa kisha anayapaki vizuri tayari kwa kuyauza.
Chunguza kile ambacho kinafanywa na wengine kisha jiulize, hivi nawezaje kuliboresha wazo hili?
3: HAMISHA WAZO LA WENGINE NA LIPE UHALISIA WA MAZINGIRA YAKO
Kuna mawazo mengi yaliyofanikiwa leo ni matokeo ya mawazo yaliyohamishwa kutoka mahali pengine na yakapewa uhalisia wa mahali husika. X-Factor ya Uingereza imezaa Bongo Star Search, DECA na SONY Records label ndiyo leo tunaona WCB.
Jaribu kuangalia, kuna wazo gani ambalo unaweza kulichukua na ukaliwekea mazingira ya kwako na ukalifanyia kazi. Unaweza kulitoa nje ya Tanzania na ukalileta Tanzania au ukalitoa Dar na ukalipeleka katika mkoa unaoishi.
4: RAHISISHA MCHAKATO WA KITU AMA BIDHAA FULANI
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kutumia teknolojia kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kwa nini? Kwa sababu ya kurahisisha mchakato kwa wateja.Tunaishi katika ulimwengu ambao watu hupenda kutumia muda mfupi kupata huduma au bidhaa, hivyo unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuwa hata kama unatoa bidhaa au huduma ileile kama wengine, jaribu kurahisisha.
Ndiyo maana visimbuzi wanaweka huduma zao kwenye MPESA, Tigopesa, Airtel n.k, wanachojaribu kufanya ni kurahisisha.
Inaendelea.....

Ni rahisi kwa mama ntilie anayepeleka chakula maofisini na akaongeza gharama ya usafiri juu ya 500 kwa kila sahan
kuliko auze bei ya chini huku akisubiri watu wamfuate kilometa moja kule anakouza.
Inawezekana unataka kufanya kitu ambacho kila mtu anafanya, swali ni je, unaweza kutoa urahisi gani utakaovutia wanunuaji wa huduma au bidhaa yako?
5: TENGENEZA UHITAJI
Hii si njia rahisi sana ila inawezekana. Inamaanisha kuna vitu vingi watu wanahitaji ila hawawezi kuvitumia hadi viwepo.
Kabla soda hazijaja watu walikuwa wanakunywa maji, kabla TV hazipo watu walikuwa ni radio tu na hakuna mtu alikuwa anadai TV kwa kuwa haikuwepo. Lakini leo ni kama vile haiwezekani kuishi bila TV. Kuna mtu siku moja akauliza; “Hivi wazee wa zamani waliishije bila simu? Miahadi walifanyaje wakifika Kariakoo na kila mtu yuko kona yake?”
Hii ina maana kuna mahitaji mengi bado yako ila watu hawawezi kuyadai au kuulizia hadi yatakapokuwepo. Zamani scrub hazikuwepo ukienda saloon, lakini siku hizi ni kama vile ni lazima kila ukinyoa utajikuta unataka kufanya na scrub, tena ina bei kubwa kuliko hata kunyoa kwenyewe!
Hiyo inamaanisha kuna wazo unaweza ukaja nalo watu wakaanza kuhitaji hata kama hawajawahi kujua kama wanahitaji.
HITIMISHO
Mawazo yako kila mahali, kiwango chako cha kujitoa kuyatafuta na kuyafanyia kazi ndiyo kitu muhimu zaidi.
Kumbuka; kiwango chako cha kutengeneza mawazo mengi na kuyafanyia kazi ndiyo kitategemea utafanikiwa kwa kiwango gani katika maisha yako.
MAKALA HII IMEANDALIWA/ KUANDIKWA NA
©Joel Arthur Nanauka
Kwa maoni/ Ushauri/Marekebisho
Email: unistoretz9@gmail com

LAS VEGAS CASINO YAMWAGA NAFASI ZA KAZI KWA VIJANA
___________________________
Elimu ya: Form Four/Cheti cha 4m4
Wanahitajika Nafasi hizi:
✳ Wafanya Usafi wanahitajika
✳ Wasimamizi wa Bar Wanahitajika
✳ Waitresses Wanahitajika
✳ Walinzi wanahitajika
✳ Cashiers wanahitajika
Deadline: July 30,2019
Bonyeza Link-KUFAHAMU ZAIDI JINSI YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-las-vegas-casino/

Jobs Opportunities at Las Vegas Casino |Las Vegas Casino Dar es salaam
Las Vegas Casino, Las Vegas Casino Jobs Opportunities, Nafasi za kazi Las Vegas Casino, Las Vegas Casino Dar es salaam, Las Vegas Casino Tanzania
NAFASI ZA KAZI WAKALA WA BARABARA TANZANIA-TANROADS
✳ Elimu ya Form Four+++
Bonyeza Link- Jinsi ya Ku-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-tanzania-national-roads-agency-tanroads/
___________________________
✳ Elimu ya Form Four+++
Bonyeza Link- Jinsi ya Ku-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-tanzania-national-roads-agency-tanroads/
___________________________
Unistoretz
Jobs Opportunities at Tanzania National Roads Agency (TANROADS)
TANROADS, TANROADS jobs, Nafasi za kazi TANROADS, TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) , Ajira mpya Tanroads, Nafasi za kazi Tanzania
NAFASI 5 ZA KAZI KAMPUNI YA INITIAL HYGIENE TANZANIA
● Wanahitajika Waliosomea kozi za BIASHARA
dealine: july 19,2019
Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/5-jobs-vacancies-at-initial-hygiene-tanzania-ltd/

5 Jobs Vacancies at Initial Hygiene Tanzania Ltd | Initial Hygiene Tanzania
Initial Hygiene Tanzania Ltd, Jobs at Initial Hygiene Tanzania Ltd, Nafasi za kazi Initial Hygiene Tanzania Ltd, Nafasi za kazi Tanzania, Ajira mpya leo,
WAZO LA BIASHARA
JINSI YA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA KUTUMIA MATANGAZO YA "sponsored Ads"
Uishawahi pita pita uko Instagram au facebook ukaona "SPONSORED ADS" ???
Leo nataka nikuelezee jinsi ya Ku-Boost matangazo hayo kupitia FACEBOOK na INSTAGRAM
"FACEBOOK INALIPA SANA" Hii nitaelezea siku nyingine JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA FACEBOOK !!👌
Sasa mimi nawashangaaga sana unakuta mtu anakwambia FACEBOOK ya washamba😄😄... na anajisifia kabisa eti hana Facebook Account !!! Namimi najiulizaga sijui ana-Survive vp?..anyways !! tuyaache hayo....
Kila mtu majua Facebook ni moja wa mtandao wa kijamii unaokutanisha watu katika kushea maandiko,picha,videos n.k
Mtandao huu wa Facebook ulianzishwa mnamo mwaka 2004 na mwanafunzi wa chuo kikuu cha Harvard, ajulikanaye kwa jina la Mark Zuckerberg na kipindi hicho ulikuwa unatumiwa na wanafunzi tu kwa ajili ya kujadili juu ya masomo yao, lakini baadae uliweza kukuwa zaidi na kuruhusu hata watu wa kawaida kutumia mtandao huo.
SASA LEO WACHA NIKUELEZEE KUHUSU SPONSORED ADS
Natumia lugha nyepes sponsored ads inayofahamika ila kwenye facebook utaona option inaitwa "ADS MANAGER"
au "PROMOTIONS"
VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO ILI UWEZE KU-PROMOTE KUPITIA FACEBOOK NA INSTAGRAM
1⃣ Lazima uwe na FACEBOOK ACCOUNT iliyokamilika ( yan uwe umejaza taarifa zako zile muhimu kwa profile yako)
¤ Sasa hapa hii Account yako.
ukishakuwa nayo utafungua account ingine ya Facebook ndab ya iyo iyo account yako -BUSINESS FACEBOOK ACCOUNT
2⃣ Lazima uwe na Account number ya Bank / Card ya Bank yenye pesa
3⃣ Lazima uwe na Instagram Account ( Business Instagram Account)
JINSI YA KUUNGANISHA NA KUWEZESHA ACCOUNT ZAKO ZIWEZE KU-PROMOTE
1⃣ Baada ya kuingia kwenye facebook account yako....
¤ Unatakiwa Kufungua BUSINESS FACEBOOK ACCOUNT.......ambapo utaingia
👇👇👇👇👇👇👇👇
business.facebook.com
¤ Ukishaingia hapo utafungua account yako ingine ya biashara ambayo ni maalumu kwa ajili ya matangazo
¤ Ukishaingia hapo utabonyeza Option ya "CREATE ACCOUNT"
¤ Alafu utachagua option ya ADS MANAGER - ambapo utaweza tengeneza Tangazo lako
2⃣ Tengeneza Facebook Page kulingana na Aina ya biashara yako....
¤ iyo facebook page----Utaona sehemu ya ku-Link Page yako ya facebook na instagram account!! Hapo LINK, NI MUHIMU SANA!
3⃣ Ukisha Fungua Business Account yako...Tafuta option kwenye uko uko Business for facebook sehemu pameandikwa "PAYMENT SETTINGS" ingia hapo.....Jaza taarifa zako za MALIPO
KUMBUKA: KADI YAKO YA BENKI NI LAZIMA IWE IMEWEZESHWA NA BENKI HUSIKA KUFANYA MALIPO ONLINE !! NENDA BENKI YAKO, WAAMBIE WAWEZESHE KADI YAKO.KUFANYA MALIPO ONLINE!! wataiwezesha
● Utajaza Account number yako na taarifa za kadi yako ya Benki
● Utachagua aina ya malipo kulingana na unavyopenda ( Msater Card /Visa Card/paypal n.k)
● utalipia kiasi cha pesa ambacho ungependa kuspend kama Budget yako ya Promotion
ITAENDELEA........

VIDEO HII INAONYESHA JINSI YA KUFUNGUA BUSINESS PAGE / BUSINESS ACCOUNT NA KUFANYA SETTINGS ZA MUHIMU
AMBAYO NDIO HATUA YA KWANZA..... NI LAZIMA UWE NAYO!!!!
https://youtu.be/-oQdV14kJp4

YouTube
How to Set Up Facebook Business Manager and Ads Manager (2019)
This is what you need to do if you'd like an agency to run Facebook or Instagram Ads for your business. This is also the set up you'll need to do to run full...
BAADA YA KUTENGENEZA HIYO BUSINESS MANAGER
KESHO NITAELEZEA JINSI YA KUTENGENEZA TANGAZO AMBALO NDIO SPONSORED AD
NA JINSI YA KUSET BUDGET...NA TIPS MUHIMU KATIKA KUPROMOTE BIASHARA YAKO KUPITIA FACEBOOK /INSTAGRAM
Yani huku .....UNAWEZA TANGAZA BIASHARA YAKO ATA kwa $1 kwa siku tuuh ....SIO BEI KUBWA KAMA WATU WANAVYODHANI HADI WANAOGOPA.....NI BUDGET yako mwenyewe unachagua!!
©Makala imeandaliwa na kuandikwa na Unistoretz Inc
ITAENDELEA KESHO.......
Kwa maoni /Ushauri / Marekebisho....Msaada /
Wasiliana nasi
👇👇👇👇👇
Email : unistoretz9@gmail.com

NAFASI 19 ZA KAZI MORUWASA
Elimu ya 4m4/Certificate
Wanahitajika:
● Assistant Technicians
● Pump Operators
● Human Resources
● Plumbers
● Wasomaji Meters
Deadline" July 23,2019
Bonyeza Link-KUFAHAMU JINS YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/19-jobs-vacancies-at-moruwasa-july-2019/

19 Jobs Vacancies at MORUWASA | Nafasi za kazi MORUWASA
MORUWASA, Nafasi za kazi MORUWASA, Ajira mpya MORUWASA, Nafasi za kazi Serikalini, Ajira mpya serikalini,Tanzania jobs,Jobs in Tanzania
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA CHINA RAILWAY
● Wanahitajika Waliosomea Engineering
Deadline: August 02,2019
Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-vacancies-at-china-railway-seventh-group-co-ltd/

Jobs Vacancies at China Railway Seventh Group Co Ltd
China Railway Seventh Group Co Ltd, Jobs at China Railway Seventh Group , Nafasi za kazi China Railyway, Ajira mpya Tanzania
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA FARMS PART LIMITED
Wanahitajika:
● Waliosomea kozi za Biashara
Elimu ya : Diploma / Degree
Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-farm-parts-limited-sales-executives/

Jobs at Farm Parts Limited, Sales Executives | Unistoretz
Farm Parts Limited, Jobs Opportunities at Farm Parts Limited, Nafasi za kazi Farm Parts Limited, Nafasi za kazi Tanzania, Ajira mpya Tanzania
SEHEMU YA PILI.
VIDEO INAYOELEZEA JINSI YA KUTENGENEZA TANGAZO LAKO LA "SPONSORED AD"
https://youtu.be/K-tKA1QbGyM

Create Your First Instagram Ad With Facebook Ads Manager
Hello There! New to BlackBrick Training? If so, here's what you need to know -- We offer online courses, video tutorials & blog posts that aim to help teach ...
SERIKALI YATANGAZA AJIRA NYINGINE MPYA ZA UWALIMU -SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI 2019
Ajira Hizi Mpya zimetangazwa-July 11,2019
__________________________
TAMISEMI:AJIRA MPYA ZA UWALIMU SERIKALINI ZIMETANGAZWA SHULE ZA SEKONDARI NA SHULE ZA MSINGI 2019
📣 MAJINA MENGINE YA WATU WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI
• Shule za Sekondari Serikalini
• Shule za msingi serikalini
Bonyeza LINK-HAPA KUPAKUA PDF FILE YA MAJINA YOTE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/tamisemi-new-government-teachers-employment-opportunities-additional-list-for-2019/

TAMISEMI: AJIRA MPYA ZA UWALIMU 2019 | AJIRA MPYA SERIKALINI
TAMISEMI ajira mpya za uwalimu,ajira mya za uwalimu serikalini 2019, Teachers jobs in Tanzania, Nafasi za kazi serikalini, Ajira za uwalimu Tamisemi
NECTA FOR SIX RESULTS: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019
[ Download PDF File ya MATOKEO-NECTA FORM SIX RESULTS 2019]
BREAKING NEWS: NECTA WAMETANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019 NA MATOKEO YA UWALIMU 2019
🔘 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019
🔘 MATOKEO YA UWALIMU 2019
Bonyeza Link-KUANGALIA MATOKEO /KUPAKUA PDF YA MATOKEO
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/necta-form-six-results-2019-acsee-necta-form-six-results-2019-2020/
__________________________
Download Hii App-KUANGALIA MATOKEO YOTE KWA URAHISI ZAIDI na kupata updates mpya za ajira/scholarships/Selections za Vyuo/HESLB KILA SIKU
💥💥💥💥💥💥💥💥
👉👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.unistoretz
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

NECTA Form six Results 2019 | Matokeo ya Kidato cha Sita 2019/2020
NECTA form six results 2019/2020, NECTA Matokeo ya kidato cha sita 2019, NECTA Matokeo ya form six 2019, Matokeo ya form six 2019, ACSEE NECTA results 2019