OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
2.99K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
WAZO LA BIASHARA


JINSI YA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA KUTUMIA MATANGAZO YA "sponsored Ads"


Uishawahi pita pita uko Instagram au facebook ukaona "SPONSORED ADS" ???

Leo nataka nikuelezee jinsi ya Ku-Boost matangazo hayo kupitia FACEBOOK na INSTAGRAM


"FACEBOOK INALIPA SANA" Hii nitaelezea siku nyingine JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA FACEBOOK !!👌


Sasa mimi nawashangaaga sana unakuta mtu anakwambia FACEBOOK ya washamba😄😄... na anajisifia kabisa eti hana Facebook Account !!! Namimi najiulizaga sijui ana-Survive vp?..anyways !! tuyaache hayo....


Kila mtu majua Facebook ni moja wa mtandao wa kijamii unaokutanisha watu katika kushea maandiko,picha,videos n.k


Mtandao huu wa Facebook ulianzishwa mnamo mwaka 2004 na mwanafunzi wa chuo kikuu cha Harvard, ajulikanaye kwa jina la Mark Zuckerberg na kipindi hicho ulikuwa unatumiwa na wanafunzi tu kwa ajili ya kujadili juu ya masomo yao, lakini baadae uliweza kukuwa zaidi na kuruhusu hata watu wa kawaida kutumia mtandao huo.


SASA LEO WACHA NIKUELEZEE KUHUSU SPONSORED ADS



Natumia lugha nyepes sponsored ads inayofahamika ila kwenye facebook utaona option inaitwa "ADS MANAGER"
au "PROMOTIONS"


VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO ILI UWEZE KU-PROMOTE KUPITIA FACEBOOK NA INSTAGRAM


1⃣ Lazima uwe na FACEBOOK ACCOUNT iliyokamilika ( yan uwe umejaza taarifa zako zile muhimu kwa profile yako)

¤ Sasa hapa hii Account yako.
ukishakuwa nayo utafungua account ingine ya Facebook ndab ya iyo iyo account yako -BUSINESS FACEBOOK ACCOUNT


2⃣ Lazima uwe na Account number ya Bank / Card ya Bank yenye pesa


3⃣ Lazima uwe na Instagram Account ( Business Instagram Account)


JINSI YA KUUNGANISHA NA KUWEZESHA ACCOUNT ZAKO ZIWEZE KU-PROMOTE

1⃣ Baada ya kuingia kwenye facebook account yako....



¤ Unatakiwa Kufungua BUSINESS FACEBOOK ACCOUNT.......ambapo utaingia
👇👇👇👇👇👇👇👇
business.facebook.com

¤ Ukishaingia hapo utafungua account yako ingine ya biashara ambayo ni maalumu kwa ajili ya matangazo

¤ Ukishaingia hapo utabonyeza Option ya "CREATE ACCOUNT"


¤ Alafu utachagua option ya ADS MANAGER - ambapo utaweza tengeneza Tangazo lako


2⃣ Tengeneza Facebook Page kulingana na Aina ya biashara yako....

¤ iyo facebook page----Utaona sehemu ya ku-Link Page yako ya facebook na instagram account!! Hapo LINK, NI MUHIMU SANA!


3⃣ Ukisha Fungua Business Account yako...Tafuta option kwenye uko uko Business for facebook sehemu pameandikwa "PAYMENT SETTINGS" ingia hapo.....Jaza taarifa zako za MALIPO



KUMBUKA: KADI YAKO YA BENKI NI LAZIMA IWE IMEWEZESHWA NA BENKI HUSIKA KUFANYA MALIPO ONLINE !! NENDA BENKI YAKO, WAAMBIE WAWEZESHE KADI YAKO.KUFANYA MALIPO ONLINE!! wataiwezesha



● Utajaza Account number yako na taarifa za kadi yako ya Benki

● Utachagua aina ya malipo kulingana na unavyopenda ( Msater Card /Visa Card/paypal n.k)

● utalipia kiasi cha pesa ambacho ungependa kuspend kama Budget yako ya Promotion




ITAENDELEA........
BAADA YA KUTENGENEZA HIYO BUSINESS MANAGER


KESHO NITAELEZEA JINSI YA KUTENGENEZA TANGAZO AMBALO NDIO SPONSORED AD


NA JINSI YA KUSET BUDGET...NA TIPS MUHIMU KATIKA KUPROMOTE BIASHARA YAKO KUPITIA FACEBOOK /INSTAGRAM


Yani huku .....UNAWEZA TANGAZA BIASHARA YAKO ATA kwa $1 kwa siku tuuh ....SIO BEI KUBWA KAMA WATU WANAVYODHANI HADI WANAOGOPA.....NI BUDGET yako mwenyewe unachagua!!


©Makala imeandaliwa na kuandikwa na Unistoretz Inc


ITAENDELEA KESHO.......

Kwa maoni /Ushauri / Marekebisho....Msaada /

Wasiliana nasi
👇👇👇👇👇
Email : unistoretz9@gmail.com
NAFASI 19 ZA KAZI MORUWASA


Elimu ya 4m4/Certificate


Wanahitajika:

● Assistant Technicians
● Pump Operators
● Human Resources
● Plumbers
● Wasomaji Meters


Deadline" July 23,2019


Bonyeza Link-KUFAHAMU JINS YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/19-jobs-vacancies-at-moruwasa-july-2019/
SERIKALI YATANGAZA AJIRA NYINGINE MPYA ZA UWALIMU -SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI 2019

Ajira Hizi Mpya zimetangazwa-July 11,2019
__________________________

TAMISEMI:AJIRA MPYA ZA UWALIMU SERIKALINI ZIMETANGAZWA SHULE ZA SEKONDARI NA SHULE ZA MSINGI 2019


📣 MAJINA MENGINE YA WATU WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI

• Shule za Sekondari Serikalini

• Shule za msingi serikalini


Bonyeza LINK-HAPA KUPAKUA PDF FILE YA MAJINA YOTE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/tamisemi-new-government-teachers-employment-opportunities-additional-list-for-2019/
___________________________
NECTA FOR SIX RESULTS: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019


[ Download PDF File ya MATOKEO-NECTA FORM SIX RESULTS 2019]

BREAKING NEWS: NECTA WAMETANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019 NA MATOKEO YA UWALIMU 2019

🔘 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019

🔘 MATOKEO YA UWALIMU 2019


Bonyeza Link-KUANGALIA MATOKEO /KUPAKUA PDF YA MATOKEO
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/necta-form-six-results-2019-acsee-necta-form-six-results-2019-2020/

__________________________

Download Hii App-KUANGALIA MATOKEO YOTE KWA URAHISI ZAIDI na kupata updates mpya za ajira/scholarships/Selections za Vyuo/HESLB KILA SIKU
💥💥💥💥💥💥💥💥
👉👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.unistoretz
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI BENKI YA NMB

wanahitajika waliosomea Degree/Diploma


● Kozi za Biashara
● Computer Eng
● IT
● Telecommunication
● Communication Fields


Deadline: July 17,2019

Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-nmb-bank/
TCU GUIDE BOOK 2019/2020

[Download PDF Files] : TCU GUIDE BOOK KWA WANAFUNZI WOTE WANAOTAKA KU-APPLY VYUO 2019/2020

• Muongozo mpya Kwa wanafunzi wote waliomaliza Form Six

• Muongozo mpya Kwa wanafunzi wote waliomaliza Diploma



✳ Vigezo/ Ufaulu unaohitajika wa Kwenda CHUO 2019/2020


✳ Kozi zote na Ufaulu unaohitajika 2019/2020

✳ Fahamu Kozi mpya ziliziongezeka na Kwa kila Chuo 2019/2020

✳ Maelekezo ya Ku-Apply Vyuo kwa wanafunzi


Donwload PDF Files Zote hapa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/tcu-admission-guidebook-2019-2020-tcu-guidebook-2019/
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA CHINA RAILWAY GROUP LIMITED


wanahitajika.

● Madereva wanahitajika-(NAFASI NYINGI)

● Waendesha Mitambo wanahitajika ( NAFASI NYINGI)

● Foremans Wanahitajika

● Mafundi wanahitajika


Deadline: August 10,2019



Bonyeza Link-Kufahamu jins ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-vacancies-at-china-railway-seventh-group-co-ltd/
GOOD NEWS: UDSM YATANGAZA FURSA YA UDHAMINI KWA VIJANA WOTE WENYE MAWAZO YA BIASHARA /PROJECTS YANASOIDIA JAMII


🚨 Utapewa Fedha/Mtaji na mafunzo ya Kukuza Biashara yako💰
___________________________

📣 UDSM FURSA KWA VIJANA: DARE TO CHANGE TANZANIA

Wazo Lako La Biashara/Project yako iwe imelenga maeneo haya:

✳ Maswala ya Afya

✳ Education projects

✳ Agriculture projects/Kilimo

✳ Maswala ya gender na jamii

✳ Maswala ya Mazingira, Maji na Usafi

Vigezo:
• Uwe Mtanzania
• Umri kuanzia miaka 22-30

Deadline: July 19,2019

Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/dare-to-change-tanzania-exciting-opportunity-for-young-graduates/