OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
2.99K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA-NAFASI ZA KAZI KWA WATANZANIA


💰Utalipwa mshahara: Zaidi ya Million.30 Tshs /year



✔ Elimu: Kuanzia wahitimu wa Elimu ya Sekondari au Certificate

Deadline: August 12,2019

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-vacancies-at-u-s-embassy-tanzania-u-s-embassy-tanzania-jobs/
______________________________
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA YOUNG INVESTMENT

✔ Elimu kuanzia ya : Diploma, Kozi za Kilimo na Ufugaji



Deadline: August 20,2019


Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-young-investment-co-ltd/
________________________________
AJIRA MPYA WIZARA YA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI TANZANIA


Wanahitajika Nafasi hizi za kazi


✳ Wapishi wanahitajika-Elimu ya 4m4

✳ Maafisa Kilimo

✳ Maafisa Kilimo wasaidizi- Elimu ya 4m6 au Diploma

✳ Maafisa Mifugo wasaidizi- Elimu ya Diploma

✳ Wasaidizi wa Mifugo- Elimu ya 4m6

✳ Wahudumu wa Mifugo- Elimu ya 4m4

✳ Wahudumu wa Kwenye Boti-Elimu ya 4m4 au certificate

✳ Manahodha - Elimu ya Diploma

Deadline: August 20,2019


Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/44-jobs-vacancies-at-public-recruitment-portal-ajira-mpya-wizara-ya-kilimo/
NAFASI NYINGINE 10 SERIKALINI-MSD, MWEKA,MARINE SERVICES NA ATC

✳ Secretaries
✳ Madereva
✳ Tutorial Assistants
✳ Mechanical Engineers
✳ Electrical Engineers
✳ Marine Engineers


Deadline: August 20,2019

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/10-jobs-vacancies-at-public-recruitment-portalatc-msd-mscl-and-mweka-ajira-mpya-utumishi/
Hello...

Kuanzia Kesho Tutaendelea na Utaratibu wetu wa kutoa elimu ya Biashara na Ujasiriamali...


Turn On your Notifications🔔
TANGAZO MUHIMU KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA..KUHUSU AJIRA ZA TANESCO


https://www.ajira.go.tz/2019/08/07/tangazo-kwa-waombaji-wa-fursa-za-ajira-tanesco/
NAFASI 20 ZA KAZI BENKI YA DIAMOND TRUST

Wanahitajika

● Bank Tellers

● Branch Managers

● Principal Officers

● Head of front Officers

● Head of Cash wanahitajika

● Bank Assuarance Officers

● ICT officers


Deadline: August 15,2019

Bonyeza Link-Kufahamu jins ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/20-jobs-vacancies-at-diamond-trust-bank-dtb/
GOOD NEWS : BENKI KUU TANZANIA(B.O.T) YATANGAZA SCHOLARSHIPS -UDHAMINI WA MASOMO KWA WANAFUNZI

UDHAMINI WA MASOMO-KUTOKA BENKI KUU TANZANIA-B.O.T🎓🇹🇿

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

✔ Utalipiwa Kila Kitu kusoma Chuo

👤 Scholarships Ya kusomea Undergraduates Degree

👤 Scholarships ya Kusomea Masters Degree
________________________________

👉 Utapewa Laptop mpya👩🏿‍💻👨‍💻

👉 Utalipiwa Ada zote za Chuo

👉 Utapewa Fedha ya Kujikimu na Malazi

👉 Utapewa Gharama zote za Accomodation

👉 Utapewa Allowances 💰

👉 Utapewa Gharama zote za Special Faculty Requirements/ Field n.k


Deadline: August 23,2019

Bonyeza Link-DOWNLOADA APPLICATION FORMS
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/bank-of-tanzania-scholarships-for-the-2019-2020-academic-year/
BAADHI YA NJIA UNAZOWEZA KUTUMIA KUPATA WAZO BORA LA BIASHARA


IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.

HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA

1. TUMIA UJUZI ULIO NAO

Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako?

Ujuzi ulianao ndo hazina ya kwanza nay a kipekee ya kupata wazo na mara nyingi wajasirimali wengi waliofanikiwa waliacha kazi wanazo fanya na kwenda kuanzisha za aina hiyo na kuzimiliki wenyewe

2. BADILISHA HOBBY YAKO KUWA PESA

Hobby ni moja ya maeneo ambayo watu huja kutajilikia, kama wewe hobby yako ni kufuga mbwa kwa nini usianze hiyo biashara ya kufuga mbwa?

Kama Hobby yako ni Kuogelea, kwa nini usinzishe mabwawa ya kuogelea na wengine wakawa wankuja huko kuogelea?

Kam unapenda gardening unaweza anza biashara ya kufanya landscape gardening.

3. NUNUA BIASHARA AMBAYO TIYARI IPO

Ukishindwa kabisa kupa wazo mwanana unaweza nunua biashara ya mtu mwingine na kuindeleza, siku hizu kuna biashara kibao zinauzwa kwa sababu mbalimbali so unaweza nunua nu kuendelea nayo

4. KUNUNUA FRANCHISE

Hii ni moja ya njiza zinazo tumika kwa sasa na sehemu nyingi sana, Unaweza nunua Popular Brand na kuifanyia kazi, Ingawa mara nyingi kuna mashariti ya kuambatana ikiwemo kuhakikisha unatoa huduma sawa na Brandi yenyewe, nah ii ni popular sana katika MAHOTELI/MIGAHAWA, MASUPERMARKET NA MADUKA MENGINE.

Na usijalibu kutumia Brand ya Kampuni Fulani bila kuwapa Taarifa make inaweza kula kwako na ukajikuta unafilisiwa.

Na ilisha wahi kutokea kwa Kampuni ya Mabasi ya SABENA baada ya kutimia jina la Shirika la Ndege la Ubeligiji, Ila sijui walimalizana vipi, make jamaa bado wanalitumia

5. TUMIA PERSONALITY YAKO

Kuna watu unakuta either ni Mrembo sana, Handsome na kazalika, unaweza utumia huo urembo na uhendsaamu kufanya biashara, either za marketing na kadhalika.

6. NINI KINAKOSEKANA MTAANI?

Tazama ni kitu gani hakipo hapo mtaani and then geuza kuwa opportunity, inaweza isiwe ni mtaani ikawa ni kazini kwako, Kijijini kwenum au maeneo unayo enda kustarehe.

-Ni kitu gani huwa kinaleta usumbufu kwako na kukuchukulia muda mwingi na pesa nyingi?
- Ni huduma zipi hazipo kabisa mtaani kwako? Na ambazo ni za muhimu?
-Ni bidhaa zipi ambazo ni vigumu kuzipata mtaani kwenu?
-Ni kitu gani, wewe, Ndugu, Majirini huwa wanakilalamikia sana mtaani hapo?

7. UTALII KATIKA MAENEO YAKO

Hii nayo ni moja ya wazo, so unaweza angalia furusa za utalii kwenye maeneo uliyopo au hata kwingine na kuyafanyia kazi.

8. TUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUANZISHA BIASHARA

Angalia mfumo wa maisha wa sasa ulivyo, vitu vinavyo tumika kwa sasa na vinavyo tumiwa na watu wengi, so mfumo wa maisha wa watu kwa sasa unaweza kukuongoza kuja na wazo la Biashara.

9. ANGALIA MAKAMPUNI MAKUBWA NA TAASISI NYINGINE WANAHITAJI NINI?

Unaweza tumia uwepo wa makampuni Fulani au taasisi Fulani maeneo yako kutengeneza wazo la biashara, taasisi kama Shule, vyuo, Hospitali, Makampuni kama Viwanda Migodi na kadhalika, angalia ni kipi hawa watu wanaweza kuwa wanahitaji kwa wingi.

10. UNAWEZA KUANGALIA KUHUSU KUUZA BIDHAA ZA WENGINE

Unaweza ukawa unauza bidhaa za watu wengine, unachukua na kuuza

11. ANGALIA HABARI NA MAKALA MBALIMBALI

Kuna chaneli huwa zina makala mazuri sana ya kiuchumi na biashara, na kuna chaneli za kimataifa siku huzi kazi yao ni hiyo tu, ni kuonyesja ubunifu wa wajasirimali, so TV, radio na magazeti yanaweza toa mchango w akutosha kwa wewe kupata wazo la biashara

12. COPY BUSINESS IDEA AMBAYO IMEFANIKIWA KWINGINEKO

Hii ni moja ya njia zinazo tumika kwa sasa, unaweza copy idea kutoka hata India, China, na kwingineko na ukaja kuifanyia kazi huku kwa kufanya marekebisho madogo kulingana na mahitaji ya eneo husika

Itaendelea.....
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA MAGAZETI, THE GUARDIAN LIMITED


wanahitajika Watu wa mauzo mikoa hii

● Tanga
● Tabora
● Ruvuma
● Pwani
● Kilimanjaro
● Katavi
● Rukwa


Deadline: August 20, 2019

Bonyeza Link-Kufahamu jins ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-the-guardian-limited/
NAFASI ZA KUJITOLEA SHIRIKA LA VSO!!!! 🇹🇿


NAFASI ZA KUJITOLEA SHIRIKA LA VSO NA SHIRIKA CHINI YA SERIKALI YA UINGEREZA(ICS)
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

VSO_ICS VOLUNTEER OPPORTUNITIES PROGRAM FOR 2019/2020 IS NOW OPENED!!! 💥

wanahitajika Vijana-VSO_ICS


● NO EXPERIENCE IS NEEDED!!!...MTU YOYOTE UNAWEZA APPLY

● Umri kuanzia miaka 18 - 35

● Uwe na Communication Skills katika jamii

● Uwe tayari kupewa Mafunzo na KUSAFIRI kwenye jamii Tofauti Tofauti


Deadline: Ongoing,2019


Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/vso-international-citizen-service-ics-volunteering-program-2019-2020/
WAZO LA BIASHARA



MASHINE YA KUFULIA INALIPA......... !!!

KUNA WATU WANATENGENEZA ZAIDI YA 500,000Tshs kwa week!!




Kuna siku katika harakati zangu nliingia Bank flan kufungua account..... Nlipenda huduma ya pale Bank kiasi kwamba hadi yule aliyekuwa ananihudumia akawa kama rafiki yangu...Huku anaendelea kunihudumia,.... alikuwa anaongea sana na wafanya wake pamoja namimi......

Katika zile story zake zote nlisikia jamaa akilalamika Kuwaambia wenzake kuwa "YULE JAMAA ANAYECHUKUAGA NGUO, WEEK HII HAKUJA".... na wenzake pia walikuwa wanalalamika icho kitu!!!..... Yule jamaa akaniuliza kuna sehemu ingine wanatoa huduma kama hiyo iyo...Kama naifahamu??...(YANI MASHINE YA KUFULIA)....kiukweli mimi mwenyewe nlikua sijui..!!

Na ndipo WAZO LIKANIJIA HAPO HAPO KUMBE HII NAYO NI BIASHARA NA WATU WANAPIGA PESA!! 😅

Kwamaana jamaa aliniambia analipia elfu.10 kila week na wako kama 5 hapo kazini...yan uyo jamaa anawafataga kila weekend kuchukua nguo......!!


Nlijaribu kutafuta mtu anayefanya biashara kama hiyo...kwa maeneo nlipo , nliulizia nkikosa!!..Ila nlipewa na namba ya mtu anayefanya biashara kama hiyo Dar......


Nliwasiliana nae uyo jamaa , kiuweli naweza kusema alinifungua sana na aliniambia baadhi ya mambo ambayo ningependa kushea hapa Kuhusu hii biashara!!!!.....


Inaendelea......