OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
3.01K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
WAZO LA BIASHARA

BIASHARA YA KUTENGENEZA NA KUUZA KEKI

sehemu ya 1.

FAHAMU JINSI YA KUTENGENEZA KEKI YA CHOCOLATE



Vipimo  

1.Maji yaliyochemka -  2 Vikombe vya chai 

2.Unga wa kaukau (cocoa powder) -  1 Kikombe 

3.Unga -  2 ¾ Vikombe 

4.Baking soda - 2 Vijiko vya chai 

5.Baking powder -  ½ Kijiko cha chai 

6.Chumvi -  ½ Kijiko cha chai 

7.Siagi iliyolainika - 1 Kikombe 

8.Sukari -  2 ¼ Vikombe 

9.Mayai -  4 

10.Vanilla -   1 ½ Kijiko cha chai 
 

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

👉👉 Washa oveni moto wa 350° F. Kisha paka siagi/mafuta treya ya kuchomea keki.Katika bakuli la kiasi, mimina yale maji ya moto yaliyochemka juu ya unga wa kaukau (cocoa powder), na uchanganye (kwa whisking spoon) hadi ilainike, kisha iyache ipoe.Kwenye bakuli la kiasi, chunga pamoja unga, baking soda, baking powder na chumvi na uweke kando.Katika bakuli la mashine, changanya (cream) siagi na sukari pamoja mpaka ilainike vizuri.Kisha tia yai moja baada ya jengine huku unaendelea kuchanganya, halafu tia vanilla, kisha tia mchanganyiko wa unga halafu tia ule mchanganyiko wa kaukau ulouweka kando.Mimina kwenye treya ya kuchomea keki na uvumbike (bake) kwenye oveni kwa muda wa dakika 25 – 30.Iache ipoe halafu itayarishie malai ya chokoleti (cream chocolate).   

Vipimo Vya Malai Ya Chokoleti (cream chocolate) 

1.Siagi -  ¼ Kikombe 

2.Sukari laini (icing sugar) -  1 Kikombe 

3.Unga wa kaukau (cocoa powder) -  1 Kijiko cha supu 

4.Maji ya moto -  2 Vijiko vya supu 

Namna Ya Kutayarisha  

👉👉 Katika bakuli la mashine, changanya vipimo vyote hadi ilainike vizuri. Unaweza kuongeza maji ikiwa mchanganyiko ni mzito sana.Kisha unapaka juu ya keki iliyopoa kwa kutumia kisu cha siagi au mwiko uliobapa (flat).Kisha tia mchanganyiko wa malai ya sukari kiasi katika mirija/nozeli (icing tube/icing nozzle) ili itoe usanifu (design) juu ya keki kama ilivo kwenye picha hapo juu au upendavyo.  Kata vipande saizi upendayo. 

 
NAFASI ZA KAZI YANGA AFRICAN SPORTS CLUB
NAFASI ZA KAZI VODACOM TANZANIA


● Head of M-Pesa anahitajika

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-vodacom-tanzania-head-of-compliance-m-pesa/
NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA NDEGE QATAR AIRWAYS

• Elimu ya Form Six

● Wahudumu wa Kwenye Ndege

Deadline: September 10,2019

Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-at-at-qatar-airways-airport-services-agent/
2nd ROUND-FORM FIVE SELECTIONS 2019

[Downlpad PDF FIle]-SELECTIONS ZA FORM FIVE AWAMU YA PILI 2019

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬


🚨 MAJINA MENGINE-AWAMU YA PILI YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2019/2020


📌 TAMISEMI wametangaza majina mengine ya wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne-kujiunha na 4m5


📌 [PDF FILE] YA MAJINA YA SELECTIONS -2nd Round 4m5, shule na kozi walizopangiwa

Bonyeza Link hapa Kupakua-PDF FILE
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/second-round-form-five-selections-2019-selections-form-five-2019-2020/
HABARI...


KARIBU KUPAKUA APP YETU MPYA YA Unistore


🔘 Utaweza Kupata Updates zote kupitia App yetu na mambo mengi zaidi

Bonyeza Link hapa ku-Install
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.unistoretz