OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
3K subscribers
196 photos
2 videos
52 files
1.5K links
✅ Matangazo Ya Ajira Tanzania
✅ Matangazo ya Scholarships-Fully Funded
✅ Matangazo ya Funding Opportunities-Fully Funded &Grants
✅ Nafasi za Internships
✅ Ujsariamali na Mawazo ya Biashara
✅ ELIMU

CONTACT unistoretz9@gmail.com
Download Telegram
Jamaa aliniambia hii biashara watu wengi bado hawajashtuka!! Na ata ambao wachache wanaifanya...Hawajui jinsi ya kuifanya..!!!..


UZURI WA HII BIASHARA...UKIPATA WATEJA, YAN WATEJA WAKO NI HAO HAO WA KUDUMU MILELE😄


Huwa napenda kusema Kila biashara Inalipa , Ishu ipo ni UNAIFANYAJE ??? Na Utapataje wateja???


Bei ya mashine ya Kufulia ...zipo za AINA NYINGI......


Yani bei inaanzia kuanzia 500K hadi Million 1 au zaidi..... Ila nyingi nlizoana bongo...nuzri wanauza 900K Tshs!!

Sasa embu tuashumu wewe umenunua ile bora kabisa ya 1M Tshs na umepata ofisi /frame nzuri kila kitu kwa bajeti yako unayoijua mwenyewe...


Ishu ipo kwenye kutafuta WATEJA!!!..

Zingatia mambo haya!!


● Mimi nlishaongeleaga swala la Branding.....Hakikisha Ume brand Biashara yako ni iwe Official....!! USIFANYE VITU KIENYEJI enyeji',.... ( Biashara yako iwe na Jina, Logo, documentation, Mikataba, usajili, Ofisi, social Media Accounts n.k) & PROMOTE YOUR BUSINESS


● Kwa teknolojia inavyokuwa unaweza pia kutengeneza Mobile app...ambayo.mtu anaweza ku -Book au kuweka order.... Online!!

● Tambua, aina ya wateja wako ni watu wa aina gani..... WATU WANAOPENDA KUTUMIA HIZO, wengi wao ni wale mabachelor na wako busy !! Au watu wale wanaoshindaga maofisini



Sasa hapa kwenye kutafuta wateja.....unahitaji ORDER ZA WATU 50 tuuh kutengeneza Laki.5 kwa week!!!



Kama kweli utaweza kutafuta Wateja.....ambao unajua ukilenga maofisi flan au majumba flan Huwezi kosa watu watakayohitaji huduma hiyo!!!......


Sasa achana na kutafuta watu....KUNA HIZI LODGE, GUEST NA MAHOTELI!!!


yan ukifanikiwa Kupata GUEST ZAKO kama 20 hivi...uwe unaenda kuchukua Nguo kule au LODGE au Mahoteli...bhasi hapo ni uhakika wa WATEJA WA KUDUMU!!!


huyo jamaa ndio kitu anachofanya sasa.... yeye anakwambia aliwatafuta hawa wamiliki wa magest House kama 50 hivi...alibahatisha hapo kupewa tender za Kufulia Gesti kama 32 !!..na anakwambia saivi ana tender ya hotels kama 8 tayar....!! Yeye kazi yake ni Huduma ya Kufua tuh!!...kwahiyo wanaenda kuchukua Nguo na nakuzirudisha !!



Sasa kama ana guest moja..anakwambia anaweza wapangia Bei ata 30 Kwa week !! Na anawafulia kila siku..ila anachukua 30K yake kila week na zipo gest kama 30....means anapata kiasi kizuri na ni uhakika..kwamaana AMEINGIA NAO MKATABA😃😃...... hapo bado kuna wale watu wake wanao order kufuliwa......uhakika kwake minimum sio chini ya LAKI.5 kwa week FAIDA..!!



Sio kazi rahisi kufikia level hiyo...lakini kila kitu kinawezekana.... Ishu ipo kwenye kupata hizo TENDER ZA MAHOTEL /GUEST/LODGE na WATU....



Mimi lengo langu ni kuleta WAZO LA BIASHARA tuuh...so kazi kwako kama umelipenda na kuanzia kulifanyia kazi!!


Asanteni!!

© Imeandaliwa na Kuandikwa na Unistoretz Inc


Kwa maoni na Ushauri wasiliana nasi

unistoretz9@gmail.com
Unaombwa kuShea Link ya Channel yetu Kwa marafiki na jamaa... ILI WAWEZE KUJIUNGA🤝
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA FAST LINK SAFARIS LIMITED


Elimu: Kuanzia ya Certificate/Diploma au Degree



wanahitajika

● Office Assistants
● Assistant Accountants
● Load controller Officers
● Customer Service Agents
● Machine Operators
● Cargo Officers
● Security Officers


Deadline : August 31,2019


Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/job-opportunities-at-fastlink-safaris-limited-2019/
NAFASI NYINGINE ZA KUJITOLEA SHIRIKA LA VSO TANZANIA


Elimu: Kuanzia ya Diploma+++

● Utapewa Allowances
● Utapewa gharama za Malazi
● Utapewa Bima ya Afya
● Utakuwa unapewa gharama za usafiri


Deadline: August 21,2019


Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/volunteer-jobs-opportunities-at-vso-tanzania/
GOOD NEWS KWA WANAWAKE TANZANIA

ADOBE YATANGAZA SCHOLARSHIPS-UDHAMINI WA MASOMO KWA WANAWAKE-💰Fully Funded💰
_______________________________

Scholarships kutoka ADOBE-UTALIPIWA KILA KITU

✅ Utapewa Award zaidi ya Million.20 Tshs

✅ Utapewa Mafunzo kwa Udhamini wa adobe

✅ Utapewa Fursa ya kufanya Kazi /Internships Adobe


Vigezo:
✔ Uwe mwanamke
✔ Undergraduates au kwa wahitimu wote
✔ Uwe muhitimu wa kozi zilizotajwa


Deadline: September 27,2019


Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/adobe-research-women-in-technology-scholarship-2020-for-undergraduate-females-studying-computer-science-usd10000-award/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
NAFASI ZA KAZI HALOTEL TANZANIA


Bonyeza Link Kufahamu zaidi



Maombi yanatumwa Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-vacancies-at-halotel-tanzania/
NAFASI ZA KAZI KAMPUNI YA KAZINIKWETU LIMITED


Bonyeza Link-Kufahamu zaidi & Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-kazinikwetu-ltd/
NAFASI ZA KAZI BENKI YA NMB


Wanahitajika wahitimu wa Fani hizi

● Accountacy
● Finance
● Business Administration
● Banking
● Economics
● Commerce
● Na kozi zingine za Biashara


Deadline: August 23,2019


Bonyeza Link-Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/jobs-opportunities-at-nmb-bank-august-2019/
GOOD NEWS KWA WANAFUNZI WOTE AMBAO NI YATIMA AU WENYE MZAZI MMOJA TANZANIA

Shea iwafikie Yatima wote au wanafunzi wenye mzazi mmoja🤝🏿

🗣🗣 SCHOLARHSIPS KWA WANAFUNZI AMBAO NI YATIMA NA WENYE MZAZI MMOJA-KUSOMA ABROAD UTALIPIWA KILA KITU🎓

_______________________________

SHIRIKA LA ASHINAGA AFRICA INITIATIVE LIMETANGAZA KUDHAMINI WANAFUNZI WOTE AMBAO NI YATIMA KUSOMA ABROAD 2020

Vigezo:

✔ Uwe Mtanzania
✔ Uwe Yatima au Hauna Mzazi mmoja
✔ Uwe umemaliza Elimu ya Form Six

📌 UTALIPIWA KILA KITU KUSOMA ABROAD-KIPINDI CHOTE CHA MASOMO

✳ Utalipiwa Gharama zote za Usafiri & Visa✈
✳ Utalipiwa Ada zote za masomo
✳ Utapewa fedha za matumizi ya kila siku
✳ Utapewa Accomodation na gharama za kujikimu
✳ Utalipiwa Na kupia vifaa muhimu vya masomo

Deadline: December 16,2019


Bonyeza Link- JAZA fomu ya maombi na Apply Online
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/ashinaga-africa-initiative-2020-scholarship-program-for-young-african-orphans-fully-funded-to-study-abroad/
🚨BREAKING NEWS: RITA WAMETANGAZA MAJINA YALIYOHAKIKIWA KIKAMILIFU YA WANAFUNZI WAOMBAJI WA MKOPO HESLB 2019/2020


RITA- MAJINA YA WANAFUNZI WOTE WALIOHAKIKIWA KIKAMILIFU KWA AJILI YA UOMBAJI WA MKOPO HESLB 2019/2020
________________________________

✅ Kila mwanafunzi aliyehakiki VYETI vyake RITA Kwa ajili ya kuomba mkopo anatakiwa ahakiki jina lake hapa


✅ PDF File ya majina ya wanafunzi wote -WALIOHAKIKIWA KIKAMILIFU KWA AJILI YA MAOMBI YA MKOPO HESLB



*Bonyeza Link hapa-Kupakua PDF File yenye majina yote RITA-YALIYOHAKIKIWA*
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/rita-the-list-of-students-verified-for-heslb-loan-applications-2019-2020-rita-majibu-ya-uhakiki/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬